Dada zetu hizi style nyingine msisubutu hatariiiiiiii!!!!!!

Dada zetu hizi style nyingine msisubutu hatariiiiiiii!!!!!!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
ri.jpg
haya sasa wale wanaopenda kwenda na fassion hii ndo ya 2013 kutoka kwa rihana je umeipenda?
 
Mbona tayari wadada zetu wanavaa za kutisha kuliko hata za Rihana?
 
hiyo ya rihana na joto la dar unaweza kutoka malengelenge
 
Ila hii stile inawatoa wenye inye na madumu kifuani ( maziwa makubwa )
 
kuna wale wadada wanaojionaga masela , tutakutana nao barabarani wametinga hiyo!!!!!!!!!!!!
 
Ni kifaa cha ku-monitor movement zake. Kuna umbali hapaswi kufika. Ni system ya marekani kwa mtu aliyetoka kifungoni kwa masharti.

ha!ha!ha! umenifurahisha sana kwa maelezo yako.
 
huyu akitevaa kitu cheusi huenda ni BOMU
 
Back
Top Bottom