tunauza ice cream....
.bidada akikaribia kugusa miaka 45 yani fifty anaiona ileee baba ataenda kubandika tangazo getini "oa dada upewe na mdogo wake bureee"
sijaolewa mwaya but yupoHa ha haaah. Bidada wewe ushaolewa au bado? Nataka kutia nia...
Duuh kumbe nawe umo?ingawa hauvumi?tunauza ice cream....
.bidada akikaribia kugusa miaka 45 yani fifty anaiona ileee baba ataenda kubandika tangazo getini "oa dada upewe na mdogo wake bureee"
Usirudie tena kukopy looooote andika utaeleweka tu..toa ushamba wa FIKRA.Mmmh!!
Ila hata kama ni fursa, si kuikimbilia blindly. Unaweza kuikimbilia na ukajuta vilevile.
sijaolewa mwaya but yupo