Dada zangu omba yasikukute haya

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,763
Reaction score
819
Amekutext dm mtandaoni ukamuuliza wewe nani? akakujibu jina ukamuuliza okay una shida gani? akakujibu ningependa tuwe marafiki kama utojali

Ukasema ngoja niingie profile yake ukaangalie picha zake ukaona mara yupo na range anaonekana jamaa mmoja mwenye uwezo

Akakuomba namba ya sim na wewe bila kusita ukampa after 1day akakuomba muonane ukamwambia huna nauli bila kuchelewa sms ya m-pesa ikaingia kwenye sim yako 200,000 kakutumia na ni nauli tu hiyo ingawa unapotoka hapazidi hata 20,000

Ukasema mambo yasiwe mengi ukajiremba mwenyewe ukajipulizia na marashi ya kunukia vizuri ukaweka make up bila kuchelewa ukarequest usafiri ukapanda

Baada ya massage kadhaa ukafika alipokuelekeza akakuchukua kwa ajili ya lunch na kukupeleka hotel nzuri akakushika mkono na kukufanya ucheke muda wote kwa vituko vyake

Ukafall in love hapohapo utadhani mmejuana kwa miaka akakuchukua mpaka hotel mkaingia ndani kimahaba ukapenda the way alivyo romantic, nguvu na ujasiri ukajisikia secure ukiwa nae

Ukajua kabisa kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late babe ukasema okay hukutaka kumsumbua

Akakuambia anakupenda ukusita kumwambia unampenda pia ukanvua nguo tena mwenyewe mkanyandua kwa style zote akakubusu katika shavu lako kisha akakuambia nimefurahi nimekuwa na wewe muda mzuri na wewe

Akachukua wallet yake akakupa 300,000 na wakati huo alikutumia 200,000 ukatabasamu kisha akakuambia mjiandae ukapanda uku ukimuaga kwa tabasamu zito ulipofika nyumbani ukamtumia message kuwa umefika kimya ukampigia namba haifanyi kazi unaingia whatsapp unamuona online ukamtext babe dakika chache baadaye humuoni whatsapp unaona kivuli tu amekublock na kawaida ukimpigia kakublock unabaki unajiuliza kwanini

Ukasema it's okay atajua mwenyewe siku, week, miezi, ikapita unaanza kujisikia homa homa mchovu uzito umepungua na utando mdomoni

Unaenda kituo cha afya kupima nusu saa daktari anaingia pole sana dada language una maambukizi ya virusi vya ukimwi na ni mjamzito vile vile mimba + hiv? how

Hauelewi hauamini unarudi nyumbani ukiwa na hours kubwa unaona kifo hiki hapa unatazama angani unaona mwisho wako unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo unatamani muda ungerudi nyuma lakini ndio ivory inakuwa too late unajiuliza ulikosea wapi upati majibu hiv umepata na mimba umepata isitoshe aliekupa kakukimbia sad

Dear ladies msiwe kama huyu ishi vizuri hapa duniani acheni kutamani material things, kuwa mwanamke ambaye ungependa mwanao aje kuwa mtoto mzuri na ndio wazazi wetu walitufundisha ishi maisha yanayompendeza mungu pekee na sio binadamu vitabu vya dini vinasema "msiamini kila roho ila zichungeni hizo roho kama zimetokana na mungu" mke + mume anatoka kwa mungu usisahau maagizo ndio silaha ya ushindi
 
Ukimwi utaupata tu endapo utaenda kuupima, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Tafuta documentary YouTube inaitwa " HOUSE OF NUMBERS", ina zaidi ya saa 1 lakini iangalie mara kadhaa utaelewa hii Dunia inavyoendeshwa. Story za UKIMWI na woga kuhusu HIV vimebakia Africa na nchi tegemezi. Hizo campaign zilisha expire siku nyingi kwenye nchi zenye taarifa zaidi. Maisha ni hayahaya acha watu waishi maisha wanayoona yanawafaa ilimradi hawavunji sheria yoyote. Ukiamua kuishi kwa uoga ni wewe, ila usiwatishe watu.
 
Acha ku comment upumbavu
 
Ko apo mwamba we utaki kusikia habari za kupima ni mwendo wa kuloweka
 
Reactions: apk
🤣🤣🤣🤣
 
Acha ku comment upumbavu
Huwezi kuelewa ila kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa MPUMBAVU ila hujui kama ni MPUMBAVU. Ruhusu fikra huru kujua usiyoyajua. Wakati Magufuli anawashtua watu kuhusu COVID-19, wengi walimshangaa sana baadae Dunia mzima ikaelewa. Mpiga debe wa H.I.V, AIDS etc anaitwa Robert Gallo na yupo hai. Mambo mengine yamewazidi kimo kwasababu uelewa wenu ni mdogo. Hata nikikwambia fikiria nje ya box huwezi kuelewa kwasababu akili yako imeshikiliwa na ni hivyohivyo kwa zaidi ya 90% ya watu(binadamu duniani). Ila naamini siku moja utaelewa. Narudia tena usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Hiyo sentence inahitajika uwe na akili kuweza kuielewa, kama reasoning capacity yako ni ndogo huwezi kuelewa kamwe. NEVER.
 
Dada Mupirocin hivi unajuwa maana ya chambo ni nini? HAKUNA mwanamme anayetoa hela na kumpa mwanamke bila malengo, utazinya tu hizo hela tena kwa taabu. Tamaa za kijinga na kukata tamaa na maisha kunawaangamiza sana kina dada. Mwanamke unashindwaje kujiuliza kuwa hauna mchango wowote kwa maendeleo ya mwanamme halafu yeye akupe tu hela bila sababu, huoni kama ni mtego kweli?
 
Jaribu kuficha ujinga wako mkuu
 
Jaribu kuficha ujinga wako mkuu
Huwezi kuelewa ila kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa MPUMBAVU ila hujui kama ni MPUMBAVU. Ruhusu fikra huru kujua usiyoyajua. Wakati Magufuli anawashtua watu kuhusu COVID-19, wengi walimshangaa sana baadae Dunia mzima ikaelewa. Mpiga debe wa H.I.V, AIDS etc anaitwa Robert Gallo na yupo hai. Mambo mengine yamewazidi kimo kwasababu uelewa wenu ni mdogo. Hata nikikwambia fikiria nje ya box huwezi kuelewa kwasababu akili yako imeshikiliwa na ni hivyohivyo kwa zaidi ya 90% ya watu(binadamu duniani). Ila naamini siku moja utaelewa. Narudia tena usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Hiyo sentence inahitajika uwe na akili kuweza kuielewa, kama reasoning capacity yako ni ndogo huwezi kuelewa kamwe. NEVER.
 
Hii stye walikuwa wanaitumia wakubwa kutuasa miaka hiyo na kwa kiasi fulani tuliwaelewa.

Japo kwa sasa zama zimebadilika sana watu wanafanya yote hayo bila woga na baada ya hapo wakiona hawaelewi chap wanakimbilia pharmacy kununua dawa wanameza kuyakwepa maambukizi.

Kikubwa hapo ni hao walaghai watunze tu vibunda vyao.
 
Acha ujinga
 
Jaribu kuficha ujinga wako mkuu
Mkuu mara nyingi sana, anayehisi mwerevu kuna uwezekano akawa mjinga na MPUMBAVU. Nimefanya research kuhusu H.I.V - A.I.D.S zaidi ya miaka 15, hakuna ninachoongea kwa bahati mbaya. Ninajua ninachokisema, hata nikiandika kitabu Page 100 wengi hamtaelewa sababu mmeshikwa akili kwa miaka mingi. Ndo maana natoa sentence moja wenye akili muanzie hapo, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote, tafuta documentary YouTube inaitwa HOUSE OF NUMBERS ina zaidi ya saa 1 iangalie. Anzia hapo mengine utajiongeza. Ila usizoee kujiona una akili na kutukana usiowajua. Waweza kukuta wewe ndo mjinga zaidi.
 
Mkuu wewe ni Deception?
 
Shkamoo da shadi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…