Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,303
- 50,185
Hamna nisichokijua
Duuu, na zile stayle zote za kimahabati unazijua??
Duuu, na zile stayle zote za kimahabati unazijua??
Nice, nitajie ya kwanza moja wapo ambayo unadhani wanaume wanapenda??
Mgongo wa nan?!!!
Ningekuja pm nikutongoze, but shida ni kuwa nahis utakua mkubwa kwangu, na wengi wenu hampend kiben10
Mi single boy, dada kapeace
Hata siwez kujisumbua kufanya hivo. Coz najua hilo.
Kumbe uko na bwana, na hakufulaishi sana!!
Huwa anakuboi nin???
tiba ya mgongo nione.
Ili usiamke na njaa kali, usiku kula kiasi (usishibe sana) na iwe mapema; kama saa 2-3 kabla ya kulala.