Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

Kuna kaka mmoja wenzie wanamwambia ameokota dodo kwenye mwarobaini na mimi huwa naambiwa nimerogwa sio bure. Kwanza anavuta majani ile mbaya, kipato chake anaaford kula kwa siku kutokana na kazi yake. Lakini ndio nimekufa nimeoza kila mtu anatamani kujua sababu ila hata mimi sijui.
msela/mhuni hua yuko real sana
 
Kila mtu atapata wa kufanana nae, isitokee mtu yoyote akabadili mfumo na utaratibu wa maisha yake kwa comments za wadau. Kiufupi mm nilishapitia maisha Fulani kitambo hicho mpaka ikafika stage ukifagia ghetto ukachoma ule uchafu unafuka Moshi wa Jamaica tu. Lakini ndiyo kipindi nilikua hadi napanga ratiba ya Jane aje kesho Mwajuma keshokutwa Batuli wiki ijayo.Lakini siku za hivi karibuni baada ya kubadili muenendo wa maisha kiujumla nimekuwa mbwa mzee sibweki kabisa yani kifupi sina makali. Kutongoza na kufukuzia demu najionea shida tu.
Kwa nini ulibadili mfumo mkuu😂😂😂😂
 
isije kuwa unachanganya wahuni na mabishoo. Kuna wale wahuni wahuni kweli yaani watu wa kuamsha amsha popote walipo hapapoi. Hizo code za huyo jamaa umempost za kibishoo/kisharobaro sana asee
Mi mwenyewe sijaelewa hapo sasa tafsiri ya uhuni ni ipi
 
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?

Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.

Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,

Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
nakumbuka chuo kuna jamaa alikuwa mtata, mlevi mtu wa kupigana, kesi za mara kwa mara mpaka polisi. kila mwaka wa masomo anabadirisha mwanamke, na hapo hapo chuo anakuwa nao wanne na kuendelea na wakati mwingine wanajuana.kwa uzoefu wangu hawa jamaa sio waoaji na ndio wanapendwa. Wakiishapotezewa muda huko ndio wanaanza maombi ya kuwa na mwanaume asiye muhuni
 
Wewe hujui maana ya uhuni
Mtu muhuni haijalishi ni sharobaro au mtu smart
Mtu muhuni anaemaanisha mleta mada ni yule mtu ambae hatulii na mwanamke moja,. Muhuni anaweza akawa yuko vzr kitandan au asiwe vizuri
Broke but extremely good in bed !!🤣🤣
 
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?

Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.

Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,

Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
anawakung'uta ipasavyo
 
Wanaume wapole tunaopendwa tu comment wapi
 
Sasa nyinyi mnaojiita masharobaro kazi yenu ni kuagiza chipsi mdebwedo zenye mayonaizi nyingi pale Kwa Mayweather chipsi ..kuvaa nguo za kike,kuweka breach kichwani na kulamba lipsi km paka aliyepigwa mwiko mdomoni..kitandani hamna maajabu yoyote zaidi ya kimoko chali

Upande wa pili watoto wa kihuni hawanaga mambo mengi wao wanafocus kwenye kupeleka Moto Tu Hadi mtoto anakimbilia kujibana ukutani Kwa nn wasishobokewe?

Kuna demu mtaani ana mabwana watatu;mmoja ni Hb sharobaro wa kuuza nae Sura kwenye mitoko ya Cheka Tu mlimani city na kidimbwi beach,wa pili ni sponsor wa kutoa mitonyo na watatu ndy huyo uliyemuanzishia uzi_muhuni mmoja hivi ana kovu la wembe upande wa kushoto wa shavu.. Mzee wa kufanikisha mission mzima ya kitandani iliyowashinda hao wawili

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Daaah haya mapenzi yanaweza kukupa pressure tu ndo maana.........
 
Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki?

Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara.

Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza kuvuta sigara mbele ya demu lakini demu mkali akawa anacheka cheka hadi leo kamganda jamaa,

Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?
Kama kuvuta sigara ni uhuni basi mhuni wa kwanza ni serikali inayoruhusu ziuzwe na kuvutwa. Laiti ungesema hata bangi japo nayo si uhuni bali uvutaji bangi. Huyo dogo ni mvutaji sigara wa kawaida na huenda anajua kuwatongoza. hao wadada. Pia, hukuwa na haja ya kujumuisha wasichana wote kwa mfano wa. huyo mmoja au wawili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom