Dada zangu jieleweni

Dada zangu jieleweni

ukisiliza prise power usiku kipindicha faraja time ni vilio tupu kwa wadada wanaombeleza wanasahau walitumia vibaya uteen wao but pia wakumbuke unataka kuolewa lazima ujichanganye mnaojifanya kusubiri makanisani mtakesha maana kule competion ni kubwa demand ni kubwa supply kidogo, kwa mjanja kamata wako mtaani umpeleke kanisani yaani hapo mungu anatoa full blessing&upako. saved girls wake up!!!!&

Hakuna mwanaume anayejitambua, then akatafuta mke wa maisha viwanja, wala MUNGU habariki huo upuuzi wa kungonoana kwanza halafu ndo mfikirie ndoa. Ndo maana ndoa za siku hizi hazidum zaidi ya miaka mitatu, kwa sababu waoaji na waolewaji wanaokotana club etc..etc. Tafakari upya mtazamo wako.
 
hakuna mwanaume anayejitambua, then akatafuta mke wa maisha viwanja, wala mungu habariki huo upuuzi wa kungonoana kwanza halafu ndo mfikirie ndoa. Ndo maana ndoa za siku hizi hazidum zaidi ya miaka mitatu, kwa sababu waoaji na waolewaji wanaokotana club etc..etc. Tafakari upya mtazamo wako.

nani alikwambia tabibu anawatafuta wenye afya? Ndoa hazidumu sababu modernity imewazidi nguvu wanandoa hasa wadada huwezi kuamisha mapenzi ya tamthilia uyalete kwa afrikan baba, kingine ujue kama ilivyo kwa mnyang'anyi na mwenziwe wasivyo na tuzo yeyote kwa mungu sababu ya kupendana ndivyo ilivyo kwa marafiki wema wakipendana hawana tuzo yeyote kwa mungu
 
..... miss chagga, mbona hivyo bhana..! unakuwa na wasiwasi wa maisha sana eeh, tukiwa wote wala usijali mambo yatakuwa fresh tu

aya bwana utakuwa unanipa sh ngapi kwa siku? mimi nataka niishi maisha mazuri na uwe unatafuta hela bila kuridhika
 
Back
Top Bottom