Dada zangu jieleweni

Dada zangu jieleweni

ukisiliza prise power usiku kipindicha faraja time ni vilio tupu kwa wadada wanaombeleza wanasahau walitumia vibaya uteen wao but pia wakumbuke unataka kuolewa lazima ujichanganye mnaojifanya kusubiri makanisani mtakesha maana kule competion ni kubwa demand ni kubwa supply kidogo, kwa mjanja kamata wako mtaani umpeleke kanisani yaani hapo mungu anatoa full blessing&upako. saved girls wake up!!!!&

wewe umefanya hivyo!!!!
 
Kwa kuolewa ni lazima eeeh?


Maana watoto siku hizi unaweza ukapandikiza tu kwa kutumia donor....
 
Msitulazimishe kubeba magalasa! Wekeni mambo yenu sawa muone kama tutakuwa na kibarua cha kuchagua!
 
some women still manage to enjoy their lives despite being single. There is more to life than being married.
 
mmmh that means u want to saya marriage ni lazima? mmmh to hell
 
Iwafikie wasichana wote wenye nyodo

Hatuna nyodo ni uchaguzi tu kama wewe unavoenda kuchagua nyanya sokoni!
Sidhani hata iliyooza utabeba eti vile ni nyanya!
Sasa kama sokoni manyanya mengi yamechina tufanyeje jamani tubebe tu?:Hell no!
Hebu jitambueni basi muone mabinti tutakavyowapapatikia!
 
The principle is simple:

18 years old - Mimi Mdogo.

20 years old - Nipo Chuo na busy, niache.

23 years old - you are not my type.

24 years old - Hawa wanaume wa hapa chuo wanahangaika tu na first year, shauri yao.

25 years old - Upo Kazini, watu kazini hawaowi hata siku moja ... michepuko tu.

27 years old - Mbona hawanisemeshi, wananidharau.

30 years old - wanaume hawana maana, bora tu nijizalie.

35 years old - Baba wa mtoto yuko wapi? hata simjui, ukichunguza alikuwa anauza kibanda cha chips,

USHAURI - UKIONA UNAPENDWA JARIBU KUPENDA ILA KUWA MWANGALIFU.

Acha kutuzingua wewe, utafiti wako haujakamilika. Umri unaishia hapo au?
 
look very you will go water, ask those wth married kama anatamani kutoka despite the married challenges tunazoona.
 
Back
Top Bottom