Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Napenda niwashauri dada zangu hii tabia inayokuwa kwa kasi ya kupenda kugawa butty sio nzuri.wengi mnajidanganya kuwa ukimpa mwanaume huduma hiyo basi hato kuacha.ni fikra potofu kabisa kwani kwa sasa wengi wenu ndio tabia mliyo nayo na kiukweli ina madhara makubwa sana.na daima mwanaume hauwezi kumdhibiti kwa kumpa butty.Mapenzi ya dhati yenye kila chembe ya uwazi na kutokuwa tegemezi 100% inasaidia.Mbadilike na wale ambao hamjaanza hii tabia kamwe usijaribu.nyie ambao butty zipo wazi badilikeni licha ya kuwa ni vigumu sana kuacha kwani hiyo ni sawa na mtumiaji wa madawa ya kulevya ukiguswa mbele na nyuma panawasha.