"Yaani unagharamia demi chini ya laki unalalamika?" watu mnaocomment namna hii huwa mnakua masikini sana sasa mnajaribu kujifanya mko juu, u cant bring me down!!!
Uko desperate ww, yamkini umri wako umeenda sana na unaona hakuna hata anayeelekea kukuoa! sasa kama mm mshamba kwani ulilazimishwa ucomment we -----? ila sishangai sana kumbe ww ni "miss wa kinyaru", hlf sio kinyaru ni kinyalu malaya kibiskuti ww! ha ha ha
MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
Usitumiee peeesa, kama fimbo baba
Mambo ya pesa hutaka makubaliano
Hapo ndipo pesa huwa na thamani eee
Sijui kama unaujua huu wimbo, lakini unakuhusu sana tu.
Usitumiee peeesa, kama fimbo baba
Mambo ya pesa hutaka makubaliano
Hapo ndipo pesa huwa na thamani eee
Sijui kama unaujua huu wimbo, lakini unakuhusu sana tu.
weee nae sii bora hiyo hela ukakamatie malaya ugegede bila mastress
MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
Kitu kipya hiki ndo kimenikubalia juzi tu baada ya kuteseka kwa takribani miezi 4
[h=5]MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?[/h]
Hahaha mtwangio ukazimika....?MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
Ujinga mtupuWe jamaa usiseme ivo, hujamuona huyo manzi alivo mkali arifu! ungekua ww ungeweza kuhonga hadi shamba lako la urithi nakwambia, believe me!
Kumbe ndo walewale , wavivu wahangaikao na wanawake miezi hadi mieziKitu kipya hiki ndo kimenikubalia juzi tu baada ya kuteseka kwa takribani miezi 4