Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
pole ..naona umetendwa..........in maana wakiwa kwenye siku zao wakatae ofa zenu?
weee nae sii bora hiyo hela ukakamatie malaya ugegede bila mastress
[h=5]MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?[/h]
Kweli aisee...duh!
Sijaelewa vizuri naomba ufafanuziNahisi amenidanganya tu, afu kama kaniotea vile, manake huwa siwezi kumwambia dem eti nikahakikishe kama kweli yuko kwenye siku zake? huwa naona kama namlazimisha
Hii weye nawe boya sana chapaaa zote hozo eeeh. Ungekua AR ningekupeleka Mianzini au ------ baa ungetumia 25000 10 gesti+ 10 malipo + 5 vinywaji
yaani kwa kiasi hicho cha pesa unapata wawili wa ukweenhe! Na chenji inabaki ya supu asubuhi...tatizo madogo hamyajui machimbo!
Sijaelewa vizuri naomba ufafanuzi
Yaani anayefanya hivo ni gelo frend wako au au wale malaya
wa mnaowaokota na kuwatumia siku moja???
Kama ni g.friend wako sidhani kama kuna ubaya wowote.!
Au ulitaka akupe hivohivo uogelee kwenye dimbwi......lo!!!!
Duh!Gharama zote hizo huyo ni demu wako au kaba shingo tu?
Du!Pole sana mkuu kwa taabu na shida ulizopata maana najua wakati wote toka umekutana nae,mkaenda kula mpaka mnaingia gesti najua mtu mzima alikuwa amevimba na kutoa machozi ya hapa na pale maana kusubiri miezi minne si kazi ndogo.
Nadhani bado huyo manzi anakujaribu aone kama una malengo nae au unataka kula tu mzigo halafu umkimbie.Badilisha mwenendo wa mashambulizi kulingana na unavyoona na ipo siku utafanikiwa.
Angalizo;Usije kuwa unasumbuka wakati wenzako wanamega kiulaini kuwa makini.
Ndo kanikubalia juzi kati tu! Ila ni mkali kisenge, nikishapiga lazima nikae kaka...
[h=5]MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?[/h]
nihaki kabisaa..!