Dada yetu yuleee

Haya walimu na wengine mateacher wanatoka secondary .wahamia primary school kazi kwenu
 
Dogo chenga sana..picha linaanza hata tarehe alikosea
 
Kinyoka Hahahaha!
Number 7 ni sawa kabisa!
 
hahaaaaa dogo yuko vizuri ,walimu wanaenjoy sana
 
Hahahahaa mbona mi sioni kama dgo amekosea kitu hapo.......naona sentesi zipo complete kabisa hzo.....mfano...Mtoto umleavo nivo ananona[emoji23]
Kwani uwongo??[emoji16]
 
Dogo ni mbunifu sana
Kwa kweli mimi ningempa marks za kubuni halafu nikamwambia atunge za kwake ziingie kwenye kitabu kipya cha methali
 
Hii ndicho kinachoitwa 'ORIGINAL THINKING ABILITY'

Ukishakuwa msomi hiki kitu huwa kinaondoka akilini, na ndio maana wengi mnaona dogo kachemka hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…