Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

MANENO yako yana buibui walahi Maana unatuletea zilipendwa!
Uchafu mtupu umeandika walahi!
Kwani kuolewa ni lazima, pathetic DNA walahi
 
MANENO yako yana buibui walahi Maana unatuletea zilipendwa!
Uchafu mtupu umeandika walahi!
Kwani kuolewa ni lazima, pathetic DNA walahi

Sio lazima ila muhimu.. ni stara na vazi jema kwa mwanamke
 
MANENO yako yana buibui walahi Maana unatuletea zilipendwa!
Uchafu mtupu umeandika walahi!
Kwani kuolewa ni lazima, pathetic DNA walahi

Sio lazma ila muhimu.. ni stara na vazi jema kwa mwanamke anaejielewa.
 
Maisha hayana Formula, kijana wa kiume shtuka.... usiseme sikukwambia. lol
 
My Dear Sister kukosa kuwa na tako kwa maisha ya sasa ni sawa na nchi kukosa Jeshi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
c&p
Hahahahahaaa
 
Kwani lazima kuolewa mkuu?
Mi nashangaa sana,
Kama mwanamke unajiweza kiuchumi kwanini upate stress za kuewa?

Si utafute mtoto wako mmoja au wawili usogeze maisha yako??
 
Hahahaha sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…