Dada yangu pitia hapa

Dada yangu pitia hapa

Moja ya kauli zao kuu Za kujifariji vijana pasua kichwa Bora niwe na mtu mzima hata nisumbua.
 
Wanaume acheni kuchepuka ndipo hili tatizo litaisha, ila kama kila mtu anafurahia maisha yake, let them be.
 
In point yaani sina la kuchangia yote umemaliza! Tutayafanyia kazi.
 
Not such extent....mi binafsi siwezi kuwa na mapenzi ya kweli na mme wa mtu, hata mi nakuwa namchora tuu! nikiona kuna kitu muhimu nakihitaji kwake ntajifanya nampenda ili nipate hicho kitu after that nakudump tuu....
 
Not such extent....mi binafsi siwezi kuwa na mapenzi ya kweli na mme wa mtu, hata mi nakuwa namchora tuu! nikiona kuna kitu muhimu nakihitaji kwake ntajifanya nampenda ili nipate hicho kitu after that nakudump tuu....
Ndio tunsema siku hzi wanawake wa kuoa hawapo.. big up kwa diamond na wengine waliofanya kutafuta sample za kigeni na sasa hvi wana furahia maishaa...
 
YUKO WAPI MWANAUME WA PEKE YAKO?
LAZIMA TUCHANGIE.
WANAUME ARE LESS IN NUMBER, ⅜ NI WANAUME.
KWENYE WATU NANE, WATATU NI WANAUME
 
YUKO WAPI MWANAUME WA PEKE YAKO?
LAZIMA TUCHANGIE.
WANAUME ARE LESS IN NUMBER, ⅜ NI WANAUME.
KWENYE WATU NANE, WATATU NI WANAUME
Haa haa.....na kweli asee tunashare scarcity resources...
 
Sijamaliza kusoma maana ndefu..

Ila kwa akili za hawa dada zetu ni kama unatumia nguvu nyingi sana kusukuma mlevi.

Wakiona Gari, Walleti imetuna, anapelekwa sehemu anazozitamani. Hata ashuke shetani mwenyewe kumwambia shituka atambetulia mdomo kana kwamba yeye ndo malaika wa kuzimu.
 
Bila kusahau wengi wanapenda maisha hayo wewe unayo hisi mabaya sababu akienda kwa mkewe na Mdada anaenda kwa mwengine,baadhi wameridhika sanaaaaaaaa na maisha yakupelekwa bar,kununuliwa vitu na maisha yanaenda...
 
Not such extent....mi binafsi siwezi kuwa na mapenzi ya kweli na mme wa mtu, hata mi nakuwa namchora tuu! nikiona kuna kitu muhimu nakihitaji kwake ntajifanya nampenda ili nipate hicho kitu after that nakudump tuu....

You are so clever I liked your principle it worth to be shared
 
Riziki ya mbwa ippo miguuni pake na lbd ndio riziki yangu.. tutaenda hivyohivyo mwishowe ntamuhamishia kwangu.
 
Ukiona dem mrembo and that yuko way classic alaf elimu yake yakuunga unga na hana shughuli yeyote ya maana anayofanya mbaya kwao sio mtoto wa kishua or middle class yet yuko updated always. Please, NEVER EVER date or wife such a woman. Utakuja umia na kumwaga kilio.

Kuna wanawake washaona kupiga uhuni ni deal mjini hapa. It really disgusts me to tha core. Kuna mwanamke mmoja tuko nae kitaa kimoja aged between 24 - 27 years yan ndivyo hivyo alivyo. Imefika a point like kila mtu anashikwa na kinyaa juu yake na wako wengi mno.mjini hapa.

Women,
Fanyeni kazi kwa bidii kwa mikono yenu wenyewe msipende mambo msio na uwezo nayo. Hela ya mwanamne iwe bonus tu. Sisi wanaume tunaojitambua hatuwez oa makopo ya mtaani design hiyo.

What you have said its very true .. Dear kuna wengine wanajisifia , duuh . Its a shame ..I don't know why some women wanapenda vya kupewa .. Vya kupewa vina madhara ..Let your man be a bonus .. These days tunadharaulika because ya some few women who don't know themselves kwa kuishi fake life .. It is very disgusting .. Thanks...
 
Back
Top Bottom