Binti yangu wa kwanza ana miaka 26, Ni mpole sana na mtulivu na ni mrembo pia, sijawahi kumuona wala kusikia kuwa ana mvulana!Nina dada angu hapati mchumba na akipata mchumba anamkimbia sijui tatizo nini pia hata yeye mwenye kasema hajui tatizo nini kaniambia nipost ujumbe huu japo apate ushauri afanye nini mana hajui hata yeye ana tatizo gani umri 25 miaka lakin wachumba kibao wanamkimbia hata akija kuposa halud tena ushauri':wenu
TATIZO ITAKUA NINI?
AFANYEJE?
USHAURI WENU
WAKUU
HUKU WANA MILA ZA HOVYO 16- WANAMUOZESHA SASA KWA 25 NI TRENDBinti yangu wa kwanza ana miaka 26, Ni mpole sana na mtulivu na ni mrembo pia, sijawahi kumuona wala kusikia kuwa ana mvulana!
Ni binti yangu , sioni shida kwa yeye kutoolewa kwa umri huo, na silalamiki. Bora kuchelewa kuolewa kuliko kuolewa kwa haraka halafu akaingia mkenge, Ila ni maisha yake maamuzi yake hayanihusu japo bado namuona mdogo.
Mwambie aache gubu kujiona yeye ni mrembo sana tena mwambie aache kujifanya anajua kila kituNina dada angu hapati mchumba na akipata mchumba anamkimbia sijui tatizo nini pia hata yeye mwenye kasema hajui tatizo nini kaniambia nipost ujumbe huu japo apate ushauri afanye nini mana hajui hata yeye ana tatizo gani umri 25 miaka lakin wachumba kibao wanamkimbia hata akija kuposa halud tena ushauri':wenu
TATIZO ITAKUA NINI?
AFANYEJE?
USHAURI WENU
WAKUU
Mana matatizo wewe na dada yako. Wewe umeolewa tayari?Nina dada angu hapati mchumba na akipata mchumba anamkimbia sijui tatizo nini pia hata yeye mwenye kasema hajui tatizo nini kaniambia nipost ujumbe huu japo apate ushauri afanye nini mana hajui hata yeye ana tatizo gani umri 25 miaka lakin wachumba kibao wanamkimbia hata akija kuposa halud tena ushauri':wenu
TATIZO ITAKUA NINI?
AFANYEJE?
USHAURI WENU
WAKUU