Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
ameshajaribu kwenda hospitali....?
Kuna roho nyingine chafu ndani yake amini, mi nadhani ajitahidi kwenda kwenye maombi, haijalishi imani yake kwani siku zote KRISTO NDIYE MSHINDI.[/QUOTE
Naye anaamini hivyo na amekuwa akienda Karismatic RC kufanyiwa maombi kwa kuwa yeye ni RC. Pia anasema ni mizimu ya ukoo imeahamia kwake.
ana muda gani toka tatizo lianze?? je mmeshaenda hospital na kuchukua vipimo mbali mbali??
Duh, ndio nauskikia leo Mpwa, pole sana sana, ngoja tusikie wengine watufundishe na sie pia
Ainde hospitali,,ka anapungua mwili, huenda anakisukari. Pole sna.
Mshauri aende hospitali, huko atapata msaada zaidi.
mwambie aende hospitalini ..asiende kwenye waganga (wachawi)Hajaenda. Nilipatabkujua hali hiyo jana nilipoongea nae kwenye simu na nimemshauri afanye hivyo mara moja. Anasema amekuwa akienda kwenye maombi na hapati nafuu!
Aende Hospital kwa matibabu. Asisahau kupima damu kubwa, Kale kaugonjwa kana sura nyingi sana!Habari zenu wanaJF hasa upande huu wa JF Daktari?
Dada yangu mwenye umri wa miaka 36 anaumwa ugonjwa ambao unamdhoofisha kila kukicha na ugonjwa huo
una dalili kuu ya kutoa sauti kubwa inayojitokeza kama mtu aliyeshiba sana na hewa inatoka kooni ila kwa sauti kubwa
ambayo inamfanya ata watu wamkimbie.
Sauti hiyo inatoka mithili ya mtu aliyekunywa soda yenye gesi nyingi (burp kwa lugha ya kiingereza). Dada yangu anazidi kukonda na anapokuwa
na hasira au kuchoka hali ya kuburp huongezeka sana hadi watu wanamkimbia.
Naomba mnisaidie kwa mwenye uelewa wa ugonjwa huu tafadhari!