Dada yangu anataka tufunge ndoa


mkuu naona umetema cheche kisawia hapo lakini nataka nitofautiane na weye kuhusu watoto wa vichwa vikubwa. Hiyo "deformity" haitokani na kuoana mtu na dadake au mtu wa karibu naye. Mengi yamesemwa ila, ukweli ki kwamba, "Nyama ya binam, nyama ya ham." Haupingiki.
Ila, kwa issue ya huyu ndugu, ni kwamba, amesema mdingi wa binam ndo kamsomesha.
Nadhan ingekuwa vyema arudishe malipo kwa mjombake. Sasa, ka mjo kataka ampe bintiye maana anamwita "Mkwe" huoni anatamani waendeleze uhusiano?
Mamake ni ukoo mwingine kabisa, naye babake ni ukoo mwingine kabisa, chromosomes zao ni tofauti kabisa. Oaaaaa wala usiogope.
 
Oya mangarata hiv mtoto wa mamako mdogo ruksa kumgegeda?maana kuna mtoto wa mamdogo ananitega tega af kidume nshaanza kumtamani
 
Una uhakika na unacho kinena?
Kama ni kweli mwambie huyo binamu yako ani PM kwanza.....
 
Ndg yangu ukitaka kujua laana ndio hii sasa utapoteza uaminifu wote
 
Huyo Aliyesema Kuwa Hao WATU Ni Wazaramo, Ni CHOKO Tu!! COZ Makabila Yote Ya Ukanda Wa PWANI, Hilo La KURUHUSU Kaka Na Dada Binamu Kuoana!!! HILO Ni Kutokana Na DINI Ya Kiislam Kutoa Ruksa Kwa Hilo!!! NDIO Maana WAARABU Hilo Ni Jambo Kawaida Tu!!!! KWAO Linasaidia Kuweka Mali Ktk Mzunguko Wa Familia /Koo Ile Ile Na Kupunguza Mifarakano Ndani Ya Ndoa Na Familia / Ukoo!!!! HIVYO Kutokana WAARABU Kukaa Zaidi MAENEO Ya Ukanda Huo Na KUSAMBAZA Dini Ya Uislam Na Mila Zao!! HIVYO Hiyo Ni Moja Ya Athari Za Wakoloni Barani Africa!!! HIVYO Kusema Ni La Kabila Fulani Ni Upuuzi Mtupu!!!!
 
wazaramu hao!
WAPI Waliposema Wao Ni Kabila Gani, Au Hilo Ulilolisema!!! AU Unaleta Utani Wenu, LKN Ilikuwa Ujue Kabila Yao Na Ww Wakufahamu Pia!! NDIO Utani Upewe Nafasi!!!!
 
Watu watakudanganya eti binamu nyama ya hamu...hakika nakuambia uache hata kama mmejamiiana..acha kabisa...
 
inafaa ma inakibali pande zte za dini iwe kwa uislam na hata ukrsto
lakini inakubalika kwa ndoa sio ZINAA
je kipi cha kufanya mtafute binamu yake huyo BABA MTATA(Baba wa huyo binti)
inapendeza kama akiwa binamu wa kike au mtani wa wenu kikabila then mueleze kinagaubaga chote

basi mchezo umekwisha ukiwa kweri una nia ya ndoa utaoa bila shida
kuhusu huo utafiti wa sijui utazaa mtoto sijui ana nini
hata sikubaliani nao 7bu km ni hvyo waarabu wangeongoza 7bu ndoa zao karibu 70% ni za ubinamu

then naamini alokihalalusha MWENYEZIMUNGU hakina madhara ukikiendea kwa kanuni na sheria

so usiogope muhimu fuata kanuni na sheria
ila swala la kumtia mimba ni DHARAU KUBWA SANA utakuwa umemfanyia na itakughalimu maishani mwako mwote
kwanza ataamini ulikuwa unamla bint yake miaka yote
pili kama ikatokea mkagombana utaumia sana maishani kwa jinsi alivyokusaidia arafu kbla hujalipa fadhira mmegombana
tatu kama ikatokea mkagombana akagoma umuoe bintiye vipi mtoto ataishi vizuri vp bila malezi ya baba na mama na mtakuwa mmejenga uadui
nne na mwisho kuzaa nje ya ndoa kwa kupanga haipendezi lbda itokee tu kama ajali
 
Akikuita mkwe...we anza muulize JE, mamamkwe(mkewe) anajua??!
 
Kama ww mwislam din inaruhusu wala haina shida mm mwenyewe yupo binam yangu natafuna mara mojamoja
unatafuna siku moja moja kwa kuwa ni muislam au kwa kuwa ni binam yako? su yote mawili?
 
Mfano kabila la waha kigoma wanuruhusu, na makabila ya kule tanga unaoa vizuri tu bila shida
buha inaruhusiwa mtoto wa shangazi kuoa kwa mjomba na sio mtoto wa mjomba kuoa kwa shangazi. hata hivyo kesi zipo chache sana.
 
Oya mangarata hiv mtoto wa mamako mdogo ruksa kumgegeda?maana kuna mtoto wa mamdogo ananitega tega af kidume nshaanza kumtamani

Kwani umezaliwa naye? Kwani ni ukoo wako?? Mengine tunajitafutia wenyewe mateso ya moyo tuu. Kipe roho ile kitu inataka
 
Kwahiyo braza dito ushamchapa nao?
Kama bado dont ever try...
kuna mambo ya kuangalia;tamaduni zetu haziruhusu,pia hata kifamilia yaweza kuleta mpasuko,na kwakuzingatia kuwa mshua wake ndo jembe lako utakua umkosefu wa shukrani kumbonyeza binti yake! wacha kabisa hiyo kitu usiikurubie..

ILA kwa familia zingine binamu huo wanaoana, angalia context yako pia jiulize impacts(+ na - ) za maamuzi yako kama utamuendekeza huyo shosti!

kupanga ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…