Wana jamvi..
Binamu yangu ambaye tumekua tukipendana kindugu, anataka nifanye nae... Iko hivi:-
Yeye kaolewa mi sijaoa, ana mtoto wa 1yr. Dadalili akija geto kwangu, huwa anataka tukae kitandani na hatimae hujilaza. Juzi shemeji alisafiri kaenda mkoani kikazi, akaomba nkalale kwa ajili ya ulinzi, nkaenda. Nilipoenda kulala alikuja, na mie nilikua na kazi naifanya kwenye laptop,, akaja akaomba nimuwekee muvi.., akajichagulia muvi iitwayo "i split on ur grave" ndani yake kuna malove..., nkashangaa kanipandishia mguu, nkamwangalia naona analembua. Nkamwomba akalale kwake maana alintamanisha, akaenda. Alipofika room kwake akani sms, anataka aje alale kwangu, nikamkatalia. Nimfanyaje, na mi sipendi tu do?
duh! am left speechless lakini it depends,kwa wenzetu waisilam dini inaruhusu...ila kwa sie bwana asifiwe/tumsifu ni bonge la abomination oooohhhh
kamanda mega tu kisela alaf !unangavu