Dada yangu anatafuta Kazi

Kwan
Mimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
Kwann wakusini huwataki mkuu, wananini
 
Habarini

Husika
na mada tajwa.
Dada yangu anatafuta kazi ya kufanya ya kujipatia ridhiki, iwe dukani, stationery, au nyingine yoyote halali ya kujipatia kipato halali.
Hachagui kazi Hata kazi za ndani yupo tayari endapo mtakubaliana.
Kwa sasa anapatikana Moshi mjini, umri ni kati ya miaka 19 hadi 25.

Kwa mawasiliano zaidi
Nipigie 0767775726
Nikupe taarifa zaidi
Uwe serious please.
Nilidhani yupo Dar tungewasiliana,kumbe yupo Moshi
 
Mimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
Jinsia yako ipi
 
Iringa na Mbeya zipo kaskazini mkuu?
 
Huu mtego huu...we piga hiyo namba then baada ya muda angalia nyuma utaona "Nissan nyeupe" ina kuja polepole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom