nash queen
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 219
- 221
Makubwa dunia simama nishuke khaaaNdugu zangu wanajamvi,
Kwanza naomba niulize, mtoto wa MJOMBA wangu ni ndugu kivile? Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba wangu kwa kipindi kirefu, mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo, ila sasahivi chuchu konzi, msambwana umenawili, kwahiyo ameanza kubadilika, muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa.
Muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu, muda mwingine anavaa kanga moko tu, au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu huku khanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha.
Sasa najiuliza, nimle au nitakosea? Maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine.
Naombeni ushauri jamani.
Brother mi natafuta kuwa house boi hapo kwenu... Mm ni mtulivu na sina papara....Ndugu zangu wanajamvi,
Kwanza naomba niulize, mtoto wa MJOMBA wangu ni ndugu kivile? Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba wangu kwa kipindi kirefu, mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo, ila sasahivi chuchu konzi, msambwana umenawili, kwahiyo ameanza kubadilika, muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa.
Muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu, muda mwingine anavaa kanga moko tu, au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu huku khanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha.
Sasa najiuliza, nimle au nitakosea? Maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine.
Naombeni ushauri jamani.
HaaaahaaHuyo ni ndugu yako kabisa achanae kabisa ikijulikana italeta shida kwenye familia hebu kwanza nipatie namba yake na yeye nimkanye
Kuonja mara moja tuuu ni vigumu,lazima mtaambiana again[emoji7]Muonje mara moja tu,harafu mwambie tuheshimiane,ukimuacha atadhani jogoo hapandi mtungi.