nkwera phelelian
Member
- May 8, 2013
- 36
- 1
Amejitambua kuwa yeye hawezikuwa msukule.
Inawezekana Mbowe alitaka ampeleke kwenye vurugu akaona upuuzi.
soon vijana wengi watajitambua pia
Freeman Mbowe wa Chadema.
Hakuna Dada wa Mbowe ambaye ni Mmpumbavu kiasi hicho. Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Safi sana, sasa anasubiriwa mbowe mwenyewe
Well said Baba VKwani umeambiwa CHADEMA ni chama cha familia!?? let her go. Hata babaake Mbowe alikuwa ccm, na Mtei pia
Hakuna Dada wa Mbowe ambaye ni Mmpumbavu kiasi hicho. Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hii habari imekuwa chungu kwa makamanda wa Chadema, kila mmoja anatokwa na povu, teh teh teh teh.
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
mkuu unapaka lipstick?Amejitambua kuwa yeye hawezikuwa msukule.
Inawezekana Mbowe alitaka ampeleke kwenye vurugu akaona upuuzi.
soon vijana wengi watajitambua pia
Kaka nasikia mbowe kaweka mashine mpya airport. Mtafanyaje?Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
Propaganda za kitoto km hizi ,hazitawasaidia chochote ,tuambieni mabilioni ya uswisi vp?,ripoti zinazoundwa kila tukio majibu yake yako wapi?,na wale vigogo wauza sembe aliosema mkt wenu ana majina yao mbona kimya? na km haitoshi aliyemteka ulimboka,kibanda nk yuko wapi? tunataka majibu ya maswali haya @all gambaz.Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CDM na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)