kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu
philemon ndesamburo-mbunge mwanae lucy uwenya mbunge,kuna mkwewe mbunge
haya aliekosa urais dk silaa,....mkewe rose kamili mbunge
tundu lissu ....mbunge ,dada yake nae kachaguliwa kwenye vit maalum mbunge....
Hawa ni baadhi tunaowafahamu wale wa freeman mbowe sijui vipi
anyway tuwe macho na hivi vyama jamani tunapenda mabadiliko lakiani isitokee ikawa chama cha familia nahisi maalimu seif angekuwa amejaza ndugu zake wengi sana leo hii cuf..mungu amuwezeshe baba yule kavumilia mpaka last anakula bata na security kali
chadema tubadilike
Ulisha wai kuomba vitimaarumu chadema ulinyimwa?
Charity begins home!Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu
PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE
HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE
TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....
HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI
ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI
CHADEMA TUBADILIKE
kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu
philemon ndesamburo-mbunge mwanae lucy uwenya mbunge,kuna mkwewe mbunge
haya aliekosa urais dk silaa,....mkewe rose kamili mbunge
tundu lissu ....mbunge ,dada yake nae kachaguliwa kwenye vit maalum mbunge....
Hawa ni baadhi tunaowafahamu wale wa freeman mbowe sijui vipi
anyway tuwe macho na hivi vyama jamani tunapenda mabadiliko lakiani isitokee ikawa chama cha familia nahisi maalimu seif angekuwa amejaza ndugu zake wengi sana leo hii cuf..mungu amuwezeshe baba yule kavumilia mpaka last anakula bata na security kali
chadema tubadilike
hapa unatukumbusha marehemu Chacha Wangwe...:tape:nimeambiwa viti maalum vimeenda kwenye mikoa ambayo viongozi wa chadema wanatoka. eti kuna mikoa imeongoza kuipa chadema kura lakini hakuna kiti hata kimoja. hivi mikoa gani walitoa kura nyingi kwa chadema
hapana nadhani kuna watu huwa wana watu wao :smile-big:Wamemsahau mama ya Zitto? Hii ndio taabu ya CHADEMA. Ina wenyewe kwa maana halisi!
Wamemsahau mama ya Zitto? Hii ndio taabu ya CHADEMA. Ina wenyewe kwa maana halisi!
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu
PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE
HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE
TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....
HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI
ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI
CHADEMA TUBADILIKE
Na huuu upande wa chama tawala unajua wanavyokabidhiana madaraka koo kwa koo? (Wadau hebu mpeni list ya Koo za chama tawala huyu) Acha hizo ndg yangu leta maada zenye mashiko!