Dada wa Saloon ananiletea wanawake

Dada wa Saloon ananiletea wanawake

Wenzako tunasifiwa kwa kuwa bize kutafuta pesa,wewe unaona sifa kucfiwa kwa uzinzi.
 
Habari wana MMU,

Kiukweli nilivyomtokea siku ya kwanza alinikatalia. Alinieleza kuwa ni mke wa mtu na anampenda sana mme wake isitoshe wana mtoto nae.Awali, nilikuwa nadhanbi alikuwa anafanya kazi kwa mtu.Lakini baadae nilikuja kugundua ile saloon alifunguliwa na mme wake.

Kama ni bahati ya biashara basi huyu dada anayo.Maana wanawake wengi hupendelea kwenda ku set nywele zao kwake.Ni dada mrefu ukilinganisha na average height ya wanawake wengi, black in complexion, ana shape ambalo hakika huwezi kushangaa hata mume kumfugulia biashara yake.

Surprisingly, yeye nywele zake kanyoa ni fupi wala humkuti kavaa wig,sijui wiving au kaziset.kiukweli ni muongeaji mzuri na huenda ndio sababu wanawake wengi hupendelea kwenda saloon kwake.

Kifupi nilifanikiwa kutembea nae one day, kutokana na ukweli kuwa wife alikuwa masomoni nilikuwa sina jinsi maana hali ilikuwa ni mbaya sana.Pengine kutokana na hiyo sababu ya kukosa 'game' kwa muda mrefu ilipelekea kuwa makini sana wakati wa show.Lakini kazi zake za saloon pia ziliniogopesha endapo ningefanya normally huenda nikawa kituko mtaan maana pale saloon wanawake hawaishi.

Baada ya wiki kupita yule dada alianza kunitafuta sana. Ilifika wakati anamtuma rafiki yangu ili nionane nae.Toka nifanye nae sikutaka tena maana wife alisharudi chuo na nisingependa kuchepuka.Huyo dada cha ajabu amekuwa akinisifia kwa wanawake kadhaa pale saloon kuwa hajawahi kutana na 'game' kama langu.

Kuna dada ni jirani yangu kuna aliniangalia sana.Nilikuwa nimeshika machungwa mara akaniomba chungwa km utani.Nikampa sikuwa na mazoea nae hata kidogo coz ni mke wa jirani.Kuna siku nilikuta gate la kuingia kwangu limefungwa. Akaniambia wife katoka kaenda kununua mahitaji.Mara kaniambia nikapumzuke kwake wkt nasubiri arudi.

Nikamjubu na mume wake akinikuta itakuwaje?Maana wanaume nawajua reaction hasa ukizingatia ukweli kuwa wengi wana jealous. Akaniambia kuna sehemu aliskia kuwa niko fit sekta zote.

Nilitembea nae siku ile ile jioni.Tofauti na wa kwanza huyu aliniambia ukweli kuwa mashine yangu ni amazing almost 5 times bigger than her hubby's.Huyu anytime yupo tayari.Nilijiskia vibaya coz its like nilikuwa nawafungua macho.

Sasa mpaka kufikia leo hii naandika,nimetokewa na wanawake wengi ambao bila aibu wamekuwa wakinitaka kimapenzi wengi wao wakiwa ktk relationship au wake za watu.Naogopa sana story za fumanizi.

Latest kuna mdada yeye age ni 34yrs with two kids n happily married.Ana kila kitu na maisha mazuri sana.Nilishangaa anakuja sana nowadays kumsalimia wife.Wife kiumri ni 24yrs.Huyu dada kuna siku alinipigia simu kuulizia km mke wangu yupo.

Nilishangaa namba alikoipata.Nilimwambia wife atarudi kwenye saa 12jioni.Alikuja saa 10 akamkuta mdogo wng wa kike.Kifupi anataka nitembee nae anadai mume wake yupo busy sn na kazi...

Nimemkatalia lkn anasema nimuonee huruma nae ni binadam na madhaifu anayo.Pia anadai anampenda sana mke wangu na kumheshimu lakini anataka nitembee nae. Juzi kaniambia niebde private hospital au dispensary nimshtue anatake aje apime UKIMWI maana huenda namkataa nikidhani ni mgonjwa.Coz kuna siku nilimwambia magonjwa ni mengi.Ukweli my heart is not willing maana i feel guilty 4 what am doing to my wife, but my body is weak namuonea huruna sana kumkatalia maana kuna siku alinibembeleza sana hata kissing tu,which i dd.

NB: Mada hii imejikita kwa wanawake walio kwenye ndoa na serious relationshi.Sijaongelea wale singles ambao roho haiumi ht ukitembea nae.

5 times bigger....!!!??? Konda kabla hujachukua nauli nishushe.....
 
Promo@ work by the way endelea kuwapa dozi si wanajileta wenyewe na kumnyima mtu kitu unacho sio vizuri
 
Hahaha huyu jamaa anapenda sifa za kijinga!! Hahaha eti alinibembeleza sana...
 
sijaelewa je unataka kujisifia kwa hicho ukifanyacho....?
jamaa jiangalie
au ujiandae.....
 
Mwizi siku zake 40 naomba serikali iyongeze iwe 70..
Nishaanda kibiriti 😡
 
''mashine yangu ni amazing almost 5 times bigger than her hubby's''
embu twende kwa hesabu za darasa la tano
Tufanye mashine ya jamaa unamchukulia mkewe ina urefu ''x''
Hii ina maana kuwa mashine urefu wa mashine yako ni ''5x''

Sasa tukisie urefu wa mashine ya huyo unayemlia mke ni inchi 4 tu kwa kiwango cha chini(NI AGHALABU KUMKUTA MWANAMUME MTU MZIMA MWENYE uume wa INCHI 4 wengi wana wastani wa inchi 6 mpaka 7)

Hii ina maana kuwa urefu wa machine yako ni 4 X 5 = INCHI 20

Kwa kuwa wengi mnatumia metric system hii ngoja niweke kwenye sentimita ili tuelewane vizuri

Inchi 1 = sentimeta 2.54

Kwa kuwa mleta mada atakuwa na inchi 20 hivyo basi;

ana uume wenye sentimeta 2.54 x 20 = sentimeta 50 ( hii ni ruler kwa wa wale tuliosoma zamani)

urefu wa karatasi ya A4 NI SENTIMETA 29.7 HIVYO UUME WA HUYU MWENZETU UNAZIDI UREFU WA A4 kwa zaidi sentimeta 20.3

Badili namba kadili upendavyo maana hata kama jamaa ana mashine ya inchi 2 kitu ambacho hakiwezekani bado itakuwa ngumu kwa hii habari ya '' 5 times bigger''
 
We jamaa ni uongo? Au hesabu ujui? Five times!

kuna siku mwenye mke atakuuliza chagua kufa au kuolewa sijui umejipangaje kwenye hilo!
 
inawezekana uko cheap kwao na ndo maana hawaishi kukuandama. unadhan hapo mtaan kwako wewe ndo unaweza game kuliko wanaume wengine? tuliza akili ufikirie tena!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom