Dada wa Saloon ananiletea wanawake

Dada wa Saloon ananiletea wanawake

Anza tu kujiandaa kisaikolojia coz mkeo soon atapata tu habari zako zote. Na utaachwa mchana kweupee pamoja na kuwa na hiyo mashine yako sijui kubwa pyee.
 
Sasa hadithi yako umesimuliwa na nani??????? Na je inatufundisha nini... Wanaume tunazidi kupungua wengi mnapukutika kama majani ya miti ya msimu.
 
ila angalia maana wakikushika lazima wakile kifurushi chako cha chuo a.k.a min kabaang au Tigo
 
karibia unashikishwa ukuta pamoja na kujisifia katika tangazo lako hilo
 
karibia unashikishwa ukuta pamoja na kujisifia katika tangazo lako hilo

Laiti ungejua hata mm sipendi lkn inafika wkt ht mm nashindwa naamua niwapatie tu wanachokitaka.

Kwani hii ni kama mwiko tu wa kupikia kila anaetaka kupikia anapikia tuu.
 
Hizo story peleka RAHATUPU. sio humu...kule kuna wadau, tena watataka waione kabisa..na wakikuta fake ujiandae kuchambwa hadharani...
 
Tembea na Vaseline ili usije umia sana utakapo kuwa unalipa uliyo kuwa una wafanyia wake za wenzio,
 
Ngoja nikatafute ugali kwa mama lishe maana thread yako imeshanitia njaaa
 
Yaani kama unaishi mitaa ya uswazi yenye saloon na wanawake
mapepe wanao hadithiana nani anatembea na nani
na ni wakeza watu..jiandae kufanyiwa kitu kibaya sana

ningekuwa wewe ningehama mtaa.....
kuna watu watakuwa wanafuatilia habari zako taratiibu ili uingie anga zao
hata kama wake zao wanawajua ni mapepe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom