Dada wa mshikaji wangu ametokea kunipenda

Kwa vile huyo dada ni mkubwa sana kwako na huwezi kumuoa usijihusishe nae kingono.
Utamdhalilisha sana rafiki yako, utajiaribia sana mipango yako utakapo taka kuoa.
Hao wadada wanakuaga ving'ang'anizi.
 
Kwa vile huyo dada ni mkubwa sana kwako na huwezi kumuoa usijihusishe nae kingono.
Utamdhalilisha sana rafiki yako, utajiaribia sana mipango yako utakapo taka kuoa.
Hao wadada wanakuaga ving'ang'anizi.
Mtoa mada zingatia hili
 
Kama ni utakuwa na mpango wa kumuoa haina shida. ila kama ni kupita tu usimkubali, linda urafiki wako na jamaa.
 
ah sasa huyu dada mwenyewe kasema iwe siri...kakwambia hivyo kwa kuwa anataka mgegedo tuu hapo. sasa wewe mpe anachotaka usitunagushe wanaume wenzio bwana.
 
Vaa viatu vyake uone kama angekua dada yako ungekasirika na kuvunja urafiki?
Jiongeze kidogo tu
 
Yaan wewe ni msela was kutoka manzese ,alafu unataka tukupe ushauri ,piga kisela 😂😂😂😂
 
School Iringa huko rafiki yangu mmoja akawa anaongea na mdogo wake wa kike kwenye simu mara nyingi namkuta siku moja akasema na mimi niongee nae kidogo aende uwani fasta ,nikaongea nae fresh so ikawa mazoea.

Tumemaliza shule nikawa bado nawasiliana nae akaonyesha dalili zote za kuhitaji mapenzi kwangu, nikapata wasaa wa kudhuru mkoani kwao ilibidi nimkanyage tu hamna namna ila brother ake hajui mpaka leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom