habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali
Ha ah kwa mawazo hayo jibu ni kwamba wewe unamwinda huyo beki 3, angalia jomba sio kitu nzuri hiyo
wewe umemiss kigegedwa chako...una anza kutamani kuka gegenda katoto ka watu.
mtoto anaonyesha heshima tu...Futa hayo mawazo yako
Kwa nini unawishwe??????
Beware!!!!
Anataka kufanya mapinduzi?! Si kaona unavyom-care mkeo?! Na yeye je?! Siku hizi ndoa zina tafutwa ati?! Be aware!!
Anataka kufanya mapinduzi?! Si kaona unavyom-care mkeo?! Na yeye je?! Siku hizi ndoa zina tafutwa ati?! Be aware!!
nashukuru kwa mchango mzuri mara zote sipo nyumbani natoka asubuh sana na narudi usiku sana so ma care ya nguvu ni usiku wakati wa kula mda wa kuangalia video sina nikila namwita na wadogo zangu tunasali then mi naenda lala wao kwenye video.nahisi pengine anaona maigizo kwenye video naye anapracticeDuh makeo macare,dada anaonesha nae anaweza kua goodwife,ila nae analake huyo kama siku zote hafanyag ivyo mbona mwenye nyumba kaondoka ndo kaanza tabia nzur?
Mke wako ni muhimu sana na anatakiwa kuheshimiwa ivo ucje jaribu kutegeka na heshma za unafiki..weka sura mbuzi kwa huyo dada,c mnakaa seblen mnaangalia tamthlya pamoja
sio huyo mtoto jamaa mwenyewe nahisi amepeleka hisia zake kumgegeda huyo mtoto!