Dada wa kazi wa aina gani huyu?

Dada wa kazi wa aina gani huyu?

Humu kwema?

Eti nipo kazini katuma sms wahi kurud ukamchukue mtoto shule mm nimeshaondoka nyumbani...

Je huyu kaaga au katoroka?!

Nimefika home hayupo kweli

WEWE NDIO UJIULIZE NI MWAJIRI WA NAMNA GANI, MAANA HAWA WADADA UKIKAA NAO FAIRLY KWA KUWAJALI WANAKUWA NA HESHIMA SANA NA KUFANYA KAZI KWA MOYO, KWA NINI (WANA UHITAJI WA AMANI, KAZI NA KULELEWA) NYIE MTAKUWA WAKOROFI TU NDIO MAANA!
 
Mnawatesa watoto wa watu halafu wakifanya mambo kama haya mnashangaa??[emoji32][emoji32][emoji32]
 
MADEREVA WA BODABODA WANAJIFUNZIAGA KUOA KWA HOUSEGIRL ILA WAKIISHI NAO KWA MWEZI MMOJA AU MIWILI WAKISHAJUA MAISHA YA NDOA YALIVYO WANAWAPIGA CHINI YANI NI KAMA TUITION YA NDOA
 
kinachokuuma nshakijua ...inawezeka umepigwa buzz ukuonjapo zigo la kisasa.
 
Kama hajakuibia mshukuru, wala usiwe na hasira nae,
 
Dada mzuri sana huyo

Ukipata mwingine ishi nae vizuri
 
Wala hatakaa huko,yatamshinda na kurudi kwako kuomba msamaha....hawa watu bhana.
 
Ukiwa na dada mzuri wa kazi kuna changamoto nyingi. Hawezi kuendelea kufanya kazi kwako wakati kapata mtu wa kuishi naye kama mume.

Jiongeze tu.
 
Back
Top Bottom