Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,787
- 1,855
Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
Weka namba hapa keshokutwa unapata msichana wa kazi. Toka mkoani.Anatafutwa Dada wa kazi kwa ajili ya kumlea mtoto wa miezi 9. Umri wake iwe ni kuanzia miaka 30 hadi 40. Mahali pa kazi ni mbezi dar es salam. Nicheki inbox tuongee.
Nadhani inbox ni salama zaidiWeka namba hapa keshokutwa unapata msichana wa kazi. Toka mkoani.
Hapa ndo salama. Inbox kwangu si salama hata kidogo.Nadhani inbox ni salama zaidi