mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Kuna matibabu mbadala yananaitwa spiritual healing...kwa kutumia process inaitwa chakra balancing. Wanasema wanaadamu tuna mwili huu physical na pia mwili spiritual.
Pale inapotokea mambo yako unaona yapo shwari na unajiona ni mtu mwenye furaha...hiyo inasababishwa na spiritual body yako kuwa shwari....yani chakras zipo balanced....
na ikitokea unaugua, huzuni, mambo yanaenda usivyopanga ...ndio hapo wanasema chakras zako hazipo balanced zimesababisha hayo...kwahiyo ...kama wanavyojinadi waganga wetu wa kienyeji (madokta) na huko ulaya wapo watu hao ...wana majina kama Psychics, tarrot readers...etc....
sasa kuna dada anaetoka familia ya Lacoste wanaotengeneza nguo na vifaa vya michezo ufaransa...yani cash sio haba...nadhani yamemkuta ...to my surprise...hata sijui nn, kaenda kwa huyo mganga..kufanyiwa hiyo chakra balancing...akapewa sharti kuleta dola laki 2 za kununulia vipande vya dhahabu (gold coins) kufanyiwa huo mchakato ili na kwamba asipofanya hivyo majini yata mchukua...
Ili gundulika hizo gold coins aliziuza na kuchukua mpunga wote
tapeli ana umri 32
dada tajiri mtapeliwa..umri 22
maeneo ya chakra ambayo hufanyiwa kazi kubalance your spiritual being...
clinic ya mtuhumiwa...
Jamani hawa watu matapeli wapo..sio Tanzania tu...kwahiyo inapotokea watanzania wenzetu wanafanya bidii kutumbua majipu haya ...sio chuki...ni kwamba ni harakati za dunia nzima na ni ubinaadamu pia...na hofu ya mungu kufichua maovu. dola laki 2 ni sawa na shilingi za bongo 430,000,000