Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Zama hizi ikitokea ukawa na uhusiano na mdada ambaye simu yake haina kuchora pattern wala password kwenye kuifungua basi NENDA KWAO UMUOE HARAKA SANA!*
Kaweka line mpya huyo mkuu amekuja kukutega*Zama hizi ikitokea ukawa na uhusiano na mdada ambaye simu yake haina kuchora pattern wala password kwenye kuifungua basi NENDA KWAO UMUOE HARAKA SANA!*
Kweeli kabisa ila hawa wenye simu janja zenye kuchora password kama utandu wa buibui...mmmhh sio kabisa*Zama hizi ikitokea ukawa na uhusiano na mdada ambaye simu yake haina kuchora pattern wala password kwenye kuifungua basi NENDA KWAO UMUOE HARAKA SANA!*