Akii we ni mzuri na umri nao bdo hujaenda sana kiivo mpaka usiweze kusifiwa..!! Una macho mazuri mhhh hizo lips bdo pia znalipa... aaah kwa kwa chin bdo cjajua ila nna iman miguu yako sio kama ya watu wa kanda ya kaskazin... kwako Kasie....
Shosti una tako hatare!Mbona kawaida tu.me mdada mzuri huwa namsifia tu
Shosti una tako hatare
Shosti una mguu
Shosti una mtindi
Shosti una fito
Shosti una lips
Shosti una macho.... Kawaida tu yaani
Hahaa..!!! Kasie weeThanks for the compliments, hakika am on my late forties kibibi mie umri umesonga sema tuu basi mwili umesimama kuzeeka japo kunyanzi zimeanza kuja usoni hehehehe.
Hana shida babu Yang huyu namshika hata kidevuHahahahahaaa acha kumchokoza Daby bana.
Lakini according to the phote u attached, i think she was juat playing at you coz u aren't such cute my dear.... Ni kawaida tu labda kama you are such older and your look doesn't match, yaani umri mkubwa kuliko muonekano, sorry for my commentUngekuwa us hakufanya na Kasie na kuona jinsi anavoongea wala usingehamaki.
Talking words.
Lakini according to the phote u attached, i think she was juat playing at you coz u aren't such cute my dear.... Ni kawaida tu labda kama you are such older and your look doesn't match, yaani umri mkubwa kuliko muonekano, sorry for my comment
Hahaah cjui alivyoondoka hakusifia pia na mwendo wake anavyotingisha nyumaUlivosem Ahsante hakusifia pia na sauti yako?.
Kweli wewe ni jambazi duhIvi we ndo yule demu wa blog ya rahatupu!
Mashavu.Nini tena itakuwa nene?
Shukuru hauifahamu na wala usiitafute maana 😳🙄Hapana, sijui hata blogu inafananaje ndo makitu gani kwani?