Dada una sura nzurii.....

Ingawa ni mtu mzima kiukweli sio kwamba u-mbaya kivile ila upo fresh
 
Kasie tupe siri ya hizo natural hair..ziko vizuri.(if they are)

Ni kweli ziko natural. Sina special treatment ni kuwa naepuka style zinazokata nywele na mara nyingi naziosha mwenyewe nyumbani. Msusi ninaye mmoja anayenisuka bila kuvuta nywele.
Niko simple tuu.
 
Kweli una sura nzuri sijui sasa kama umbo linaendana na sura
 
Kweli una sura nzuri sijui sasa kama umbo linaendana na sura

Hehehhee shepu hamna ndugu nina pasi bin flani ya Sony wega nyuma. Basi hakuna kingine zaidi.
 
Hahahaa assnte rafiki, mwenzako nina allergy sana na umri, hivo nisamehe tuu ukubalianena hali halisi. Ntastaafu na wazee wenzangu.
Basi bana wacha wakubwa wafaidi ,, japo roho inaniuma ntafanya nn asa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…