shemeji salama?
Duuuh nimempendaaa....sijui kwa nini sikusomaga sayansi mimi
Hivi huyu haoni kama nguo zimetoboka, au anafanya makusudi!
Enzi zetu tulikuwa tunaita midabwada.
NI MWITO....hata science haikukupenda km mm ART ilivyonikataa...ila hapo hamna science...huyo ni dreva...(compact heavy machine)...
Huyo ni nani jamani, mbona sijamfahamau?
Afu soon wabongo nao wataanza kuvaahivi...
google kim kardashian(mrs Kim West)Huyo ni nani jamani, mbona sijamfahamau?
Afu soon wabongo nao wataanza kuvaahivi...
Hata mwanamke mwenzie analithaminisha saburi...
Kwa Bongo sijui nimfananishe na nani...
Alinifurahisha ni huyu sasa, huku nyuma waaaoooo!
Lakini hata yeye anaishangaa sura yake isivyoendana na yeye!!!!
mwanamke choo bwana
Inaelekea mapanya waliipenda wakaamua kuishambulia ππ naye kwa jinsi anavyoipenda hawezi kuacha kuivaa japo mapanya wameifanya kazi ππ