Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,114
- 55,531
Closed
Na pia waufanyie kazi mkuuUJUMBE UWAFIKIE WAHUSIKA
Kazi kwako mkuuHaya
Umefurahia ushauri na kuufanyia kazi?Haya
Vp umefurahia ushauri?😂😂😂mtego wa kuliwa kimasihara.
ha ha ha ha acha uwoga😂😂😂mtego wa kuliwa kimasihara.
Sana. Nasubiria tuu kutongozwa nijinyakulie mume.Umefurahia ushauri na kuufanyia kazi?
Kila la kheri, ningekua tayar kutongoza ningejiongeza.Sana. Nasubiria tuu kutongozwa nijinyakulie mume.
Itakuwa labda awahitaji ndoa mkuuwafungue na hizo PIEEM waache maringo
Mfuate umwambieKuna mmoja nammendea hapa ila naona kama vile hanisomi, ngoja nihamishie majeshi kwingine labda kitaeleweka.
ha ha ha haKuna mmoja hapa nasubir ahit 35 nijichukulie kiulainiii
Fanya hivyo mkuu....kuzeeka mwenyewe bila mume ni kujitakia tu
Ngooja nimuibukie Prime Minister mkuu.Mfuate umwambie