Dada, ukitaka Wanaume handsome njoo Kusini/Masasi

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,281
Wamejaliwa, wamebarikiwa.

Dada zenu wa migombani wameshajua hili na wanachangamkia fursa haraka. Ni wasomi kusini nzima (Wamwera na Wamakua). Nina mifano mingi sana ya hili.

Anyway karibuni sana. Ni kweli panya tunakula (ila wale wakubwa sana wa porini na hata baadhi ya vyura), ila ndio utamaduni wetu and We are both intellectual and handsome.

Uzi tayari
 
Unapatikana masasi ipi..chiwale,chigugu,chiungutwa,chipole,chipunda,chingulungulu,matawale,ndanda,lukuledi,makulani,msikisi,masiku,liputu.

Shida wata weza manyago na viuno bila mfupa..kama wamakua na wamwera...je wataweza kuinama kutwa nzima wakiokota korosho.?


#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
 
Sisi Wamakuwa intellectual hizo mambo za kukatiwa mauno hatupenda gi sana.
 
Mimi home ni Chiroro na Nakole mkuu. Naipenda sana Masasi and I am proud for that
 
Umetaja na Capetown kabisa, daaah!!!
 
Katika kitu kimenishinda ni mwanaume anayejisifia 'uhensamu', mwanaume kuwa na sura yako kavu ya kiumeni uzuri wako nitaujua Mimi mwandani wako huko ndani wooiii..!!
Waachie wenzako wanaowapenda, they are not there for you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…