Dada tumia ndimu/limao kuzuia mimba

Dada tumia ndimu/limao kuzuia mimba

Fuatilia maelekezo yafuatayo.

Vifaa vinavyotakiwa
1. Wembe mpya
2. Chombo kisafi.
3. Ndimu/limao moja
4. Kipande cha godoro jipya chenye ukubwa wa 4cm x 4cm x4cm.

Maandalizi na matumizi.
1. Kata ndimu/limao moja kwa kutumia wembe mpya kisha kamulia juisi yake kwenye chombo kisafi.
2. Chukua kipande cha godoro chovya kwenye juisi ya ndimu/ limao uliyoikamua.
4. Ingiza kwenye uke kipande cha godoro kilicho chovywa kwenye juisi ya ndimu/ limao. Kisha kiache kwa takribani nusu SAA.
5. Kisha kitoe kigodoro hicho.

Namna inavyofanya kazi.
Juisi ya ndimu au limao ina tindikali (acid), hivyo kwa kuingizwa ukeni itaufanya uke kuwa na mazingira ya tindikali (acidic medium).

Hali hii ya uchachu ndani ya uke huua mbegu zote za kiume (sperms). Hii ni kwasababu mbegu za kiume huwa zinapendelea mazingira ya nyongo (alkaline medium).

Angalizo
Juisi hiyo hufanya kazi kwa masaa 8 tu.
Apo kwenye Wembe mpya nikitumia Kisu je nitakua nimekosea.
 
Kwanini wembe n sio kisu?

Mfano wembe ukavunjika then vile vipisi vya wembe ukavibeba na Godoro ukaweka ukeni.. si utachana chana uke na wembe..( imagine it).

Sioni sababu ya kutumia wembe...

Nawatakia kila la kheri.
 
duuu wanawake kwa kudanganyana hamjambo kuna mwingine alidai majivu yanazuia mimba yakiwekwa kwenye uke
 
hapana mkuu. hii juisi haingii kwenye mirija ya uzazi na wala haifiki hata ktk mji wa uzazi
Lazima ipite kwenye mji wa uzazi kwanza. Pia kabla ya yai kutoka na lianze ku move lazima alkaline solution iwepo hivyo lazima hiyo acid iwe neutralize na alkaline ambayo hutoka automatically. Hivyo kinachozuia mimba ni godoro na sio acid. SEX WILL BE ENJOYABLE IF BOTH OF YOU YOUR ABLE TO PRODUCE MUCUS FOR BETTER SLIPPERY OF SEX ORGAN. INSTEAD OF THAT ACID WHICH PRODUCES FRICTION THAT RESULTS TO PAINFUL EVEN BLEEDING THAT LEADS TO MORE EXPOSURE OF DISEASES
 
Mtoa Maada anaitwa sexless, zakuambiwa changanya na zako, endeleeni Kutia viungo, mkishaweka juice ya Ndimu mnaweka na kachumbali Kabisa Ili hiyo mimba ikome Kabisa, utafikiri Kuna dhambi kupata mimba ilihali ushaambiwa kitanda hakizai haramu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom