Dada tumia ndimu/limao kuzuia mimba

Dada tumia ndimu/limao kuzuia mimba

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,112
Fuatilia maelekezo yafuatayo.

Vifaa vinavyotakiwa
1. Wembe mpya
2. Chombo kisafi.
3. Ndimu/limao moja
4. Kipande cha godoro jipya chenye ukubwa wa 4cm x 4cm x4cm.

Maandalizi na matumizi.
1. Kata ndimu/limao moja kwa kutumia wembe mpya kisha kamulia juisi yake kwenye chombo kisafi.
2. Chukua kipande cha godoro chovya kwenye juisi ya ndimu/ limao uliyoikamua.
4. Ingiza kwenye uke kipande cha godoro kilicho chovywa kwenye juisi ya ndimu/ limao. Kisha kiache kwa takribani nusu SAA.
5. Kisha kitoe kigodoro hicho.

Namna inavyofanya kazi.
Juisi ya ndimu au limao ina tindikali (acid), hivyo kwa kuingizwa ukeni itaufanya uke kuwa na mazingira ya tindikali (acidic medium).

Hali hii ya uchachu ndani ya uke huua mbegu zote za kiume (sperms). Hii ni kwasababu mbegu za kiume huwa zinapendelea mazingira ya nyongo (alkaline medium).

Angalizo
Juisi hiyo hufanya kazi kwa masaa 8 tu.
 
Endeleeni kuuwana... maana mpo wengi...
 
*Godoro matumizi yake yanajulikana,

*Soko la ndimu mda siyo mrefu litakuwa halishikiki

Shetani huwa anajifunza mbinu mpya kutoka kwa binadamu..
 
*Godoro matumizi yake yanajulikana,

*Soko la ndimu mda siyo mrefu litakuwa halishikiki

Shetani huwa anajifunza mbinu mpya kutoka kwa binadamu..
Mabadiliko hayazuiliki. Ukiyakataa yatakulazimisha
 
Umesahau pia kuwaambia waweke mbegu za pilipili kwenye hiyo juice ili kunogesha gemu, narudia tena sio pilipili yenyewe ni mbegu zake tuu
 
Mkumbuke kwenye uke. Kuna rythmic movement. Mtasababisha kipande cha godoro kisepe mahali pabaya na kama mjuavyo kina absorb fluid. Na kitakuaa kizito angaliaa msijee sababisha kifo. Take an example ..kondom ikisahauliwa katika papuchi. Inaweza pelekea kifo.

...

Yanini yote hayo. Mali yetu ile msiwekee vitu vya ajabu radha ikapungua.
 
Fuatilia maelekezo yafuatayo.

Vifaa vinavyotakiwa
1. Wembe mpya
2. Chombo kisafi.
3. Ndimu/limao moja
4. Kipande cha godoro jipya chenye ukubwa wa 4cm x 4cm x4cm.

Maandalizi na matumizi.
1. Kata ndimu/limao moja kwa kutumia wembe mpya kisha kamulia juisi yake kwenye chombo kisafi.
2. Chukua kipande cha godoro chovya kwenye juisi ya ndimu/ limao uliyoikamua.
4. Ingiza kwenye uke kipande cha godoro kilicho chovywa kwenye juisi ya ndimu/ limao. Kisha kiache kwa takribani nusu SAA.
5. Kisha kitoe kigodoro hicho.

Namna inavyofanya kazi.
Juisi ya ndimu au limao ina tindikali (acid), hivyo kwa kuingizwa ukeni itaufanya uke kuwa na mazingira ya tindikali (acidic medium).

Hali hii ya uchachu ndani ya uke huua mbegu zote za kiume (sperms). Hii ni kwasababu mbegu za kiume huwa zinapendelea mazingira ya nyongo (alkaline medium).

Angalizo
Juisi hiyo hufanya kazi kwa masaa 8 tu.
Umesaau na chumvi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom