Dada tuliekutana Mwenge please nitafute

utakuwa unamsema yule Catherine anayesali "Mlima wa Moto" kwa mama Rwakatare. kweli aisee yule mtoto ni moto wa kuotea mbali - kisu kikali unaweza kuhonga nyumba nakwambia!

ila ni binti mmoja mlokole wa kutupwa humwambii kitu.... but ni CD mstaafu na inasemekana yupo kwenye "gridi" tayari.

the choice is yours mkuu!
 
[emoji3][emoji3] Binadamu wana nongwa sana
 
Huyo cathy n mwembamba mrefu wa kimo hebu nipe muonekano wake kama ndo yeye nikupe namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baby kanambia kuna boya kakutana nae kamdanganya anaitwa cathy dogo Linda Marinda yako
 
Wasikutishe rusha mtama kwa watoto huyo Cathy lazimaa aliwe[emoji1787]
 
Mkuu ushampata..?
Kama bado kuna Cathy namjua anakaa mitaa hiyo na ni mzuri haswa.. nahisi kama utakua unamzungumzia yeye


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…