Dada tuliekutana Mwenge please nitafute

ihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bhaghosha
 
Bro we ni dhaifu sana,hayo mambo ya magari ndiyo nini sasa,unadhani mwanamke mwenye ufahamu wa maisha anajali gari?halafu usikute gari yenyewe ni Brevis.
 
Watu sijui kwanini ukieleza story yako ukasema una gari wanachukulia et ni majivuno na kupenda sifa
Gari ni chombo cha usafiri kama ilivyo baiskeli na pikipiki hauna haja ya kumchukia mtu kisa kasema ana gari wakat ww huna tafuta uje na ww utusimulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ni mapenzi sio kihivyo mtoto mkali kama yule kuwa na simu ya 400k nikagundua kuna wanaume wanatembea na watu sio hadhi yao kabisaa ni kama wanaonewa huruma tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea jinsi gari linavyoingizwa kwenye hiyo story yenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…