Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
hahahah kwa nini...??mmmh! umesomea wapi rafiki?
hahahah kwa nini...??mmmh! umesomea wapi rafiki?
hahahah kwa nini...??
hata mimi ananishngaza sana kuna watu hawakos erious na ulinzi wa mali zao yaani wanaziwekea mazingira ya kuibiwa mchana kweupeeeee.
hahahah ni shida kuwa na trafiki kama huyo. yaani huyo sidhani kama bosi wake huwa anamgombeza hata siku akilipua kazi.
shule tu hizi hizi za kawaida.mengineyo utundu na kupenda kujaribu jaribu tu ndo kunatukuza.nimependezwa na ujuzi wako wa mambo so namimi nataka nijifunze huko uliposomea
Kabisa mkuu Mndengereko wakati ilitakiwa kuwekwa sehem safe yeye anaiexpose mpaka kwa wasiohusika
hapo hakuna kugombezwa bana hapo anambiwa usifanye tena hivyo eehh
hata mimi ananishngaza sana kuna watu hawakos erious na ulinzi wa mali zao yaani wanaziwekea mazingira ya kuibiwa mchana kweupeeeee.
hahahah ni shida kuwa na trafiki kama huyo. yaani huyo sidhani kama bosi wake huwa anamgombeza hata siku akilipua kazi.
tena sehemu safe ambapo mabazazi akina mwekundu hawafiki
hapo kwenye red tena akishaambiwa usifanye hivyo tena alafu anaulizwa kwani umekasirika??
shule tu hizi hizi za kawaida.mengineyo utundu na kupenda kujaribu jaribu tu ndo kunatukuza.
Kumbe tulikua wengi eeh! Acha bhana jamaa siku ashikwe, Kila mwalimu wa kike alimchapa tatu.. imagine ofisi nzima alikula ngapi.
mmmh ndo umenichoka kiasi hicho darling? But I miss you dear''Happiness doesn't result from what we GET, but from what we GIVE'' ....do you want her? i want happiness
View attachment 154239
Ingekua ni kati ya hawa jamaa ( Mr Rocky, Mndengereko, sungura1980, utafiti, Excel, mwekundu, mshanajr) anakutana naye huenda wangesingizia kupata pancha karibu naye au wangebandua stiker makusudi.
huyu trafiki hatari anaweza kufufua waliokufaHalafu wewe ushathibitisha jinsia yako usije kuwa kama yule jamaa yetu aise
Kabisa mkuu Mndengereko na akiambiwa hivyo ana mwekundu kadhaa zinawekwa mkononi mwake kumwambia aende akapate maji ya kunywa
karibu sana i will be happy kuwa mwl wakoaisee naomba unifundishe na mimi
karibu sana i will be happy kuwa mwl wako
nakusikiliza wewe ila kwa watu wazima napendelea madarasa ya usiku/jioni mji unapokuwa umetulia si unajua mchanaa na asubuhi pilika pilika huwa nyingi sanaasanteeee! darasa wapi sasa?
tena shida kubwa sio ndogo kumfufua mtu aliekufa sio jambao dogo ambalo kila mtu anaweza ni kwa waliobarikiwa tuhahaaaaaa ni shiidaaa
nakusikiliza wewe ila kwa watu wazima napendelea madarasa ya usiku/jioni mji unapokuwa umetulia si unajua mchanaa na asubuhi pilika pilika huwa nyingi sana
tena shida kubwa sio ndogo kumfufua mtu aliekufa sio jambao dogo ambalo kila mtu anaweza ni kwa waliobarikiwa tu
teh teh unauliza ccm wanataka serikali 2??hahaaaaaa! kwa hiyo uyo kabarikiwa?