Dada samahani gari yangu haina insurance naomba unikamate

Kwa kweli mkuu hujakosea yaani ningekuwa mimi lazima nizime gari pembeni ya trafiki alafu nijifanye imekataa kuwaka/kupiga starter
 
Kuna watu wanafaidi jamani, kha! Aiseee mimi simruhusu aende kazini huyo ni wangu peke yangu

alaf eti anamruhusu aende kazini alafu kazi yenyewe ni utrafiki anaenda kujianika barabarani kweli watu hawapo serious na mali zao.
 
Yaani hapo Mkuu Tized nabandua stika yoyote na kusingizia sina ili tuu nimwambie anipeleke kituoni na kituo ninachochagua ni mbali na mji kabisa tukirudi huko story inakuwa nyingine
cc Mndengereko dikembe, Excel

yaani mkuu yote ya nini hayo unafika unazima gari lako mbele ya miguu yake then unamwambia imekataa kuwaka akipanda ndani ya gari kupiga starter unamuandali bahasha yake ndani kuna vijidolari walu dola 100 then na business cars keso ukipita hata huongei sana unampakia unampa lifti mchezo umeisha
 
Last edited by a moderator:
hii picha iumetapaa mtandaoni aisee he he he he he he
 
yaani mkuu yote ya nini hayo unafika unazima gari lako mbele ya miguu yake then unamwambia imekataa kuwaka akipanda ndani ya gari kupiga starter unamuandali bahasha yake ndani kuna vijidolari walu dola 100 then na business cars keso ukipita hata huongei sana unampakia unampa lifti mchezo umeisha

mmmh! umesomea wapi rafiki?
 
Hahahaaaa na haiwaki bila yeye kupanda umo. Mr Rocky hadi sasa keshatuma wekundu wa kutosha. anaulizwa za nini anaishia tu kusema ''nimeona nikupe tu''
Kwa kweli mkuu hujakosea yaani ningekuwa mimi lazima nizime gari pembeni ya trafiki alafu nijifanye imekataa kuwaka/kupiga starter
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa. umenikumbusha songi la mshkaji wakati bangi haijapanda sana kichwani.
Bantu lady namuamini hata umtumie hela kwenye PM hawezi niangusha.
acha kupiga mayowe acha ajionee mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa. umenikumbusha songi la mshkaji wakati bangi haijapanda sana kichwani.
Bantu lady namuamini hata umtumie hela kwenye PM hawezi niangusha.

Hahahaaaahhaaaaa, sanasana ataishia kula kwa macho. Sawa na kunawa na kula huli.
 
Last edited by a moderator:
yaani mkuu yote ya nini hayo unafika unazima gari lako mbele ya miguu yake then unamwambia imekataa kuwaka akipanda ndani ya gari kupiga starter unamuandali bahasha yake ndani kuna vijidolari walu dola 100 then na business cars keso ukipita hata huongei sana unampakia unampa lifti mchezo umeisha

Wacha tuu mkuu Mndengereko hiyo ni shidaa aise
Halafu kuna mtu kamuachia eti akafanye kazi tena ya traffic anajianika barabarani dah kuna watu hawajui thamani ya kitu aise Tized naomba basi uwasilishe salam zangu bana mbona unanibania sana
 
Last edited by a moderator:
Salamu angalau unaambatanisha na wekundu kadhaa.. sasa zakwako kavu ivo nazipelekaje mkuu?

Mkuu Tized hujaangalia mpesa yako bana nishatuma tayari wewe tuu au simu yako ya torch haionyeshi notification bana
 
Last edited by a moderator:
Wacha tuu mkuu Mndengereko hiyo ni shidaa aise
Halafu kuna mtu kamuachia eti akafanye kazi tena ya traffic anajianika barabarani dah kuna watu hawajui thamani ya kitu aise Tized naomba basi uwasilishe salam zangu bana mbona unanibania sana
hata mimi ananishngaza sana kuna watu hawakos erious na ulinzi wa mali zao yaani wanaziwekea mazingira ya kuibiwa mchana kweupeeeee.
 
Hahahaaaa na haiwaki bila yeye kupanda umo. Mr Rocky hadi sasa keshatuma wekundu wa kutosha. anaulizwa za nini anaishia tu kusema ''nimeona nikupe tu''
hahahah ni shida kuwa na trafiki kama huyo. yaani huyo sidhani kama bosi wake huwa anamgombeza hata siku akilipua kazi.
 
Back
Top Bottom