Dada poa wa Tabora nusura waniue

Dada poa wa Tabora nusura waniue

Alafu ukute ela yenyewe 5000..bruh!

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe kama mganga vile mkuu, ila hela hela
 
Kuna ukimwi hapo usije kumpelekea umpendaye tu mkuu
Ukimwi upo Sana tuu Ila unaweza kuambukizwa na huyo umpendae. Mimi nna experience ya makazini na mavyuoni. Unasema mke au demu wako kaenda au yupo kazini kumbe watu wako wanakula sambusa . Chamsingi ukiwa na hawa viumbe utumie kondomu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwi upo Sana tuu Ila unaweza kuambukizwa na huyo umpendae. Mimi nna experience ya makazini na mavyuoni. Unasema mke au demu wako kaenda au yupo kazini kumbe watu wako wanakula sambusa . Chamsingi ukiwa na hawa viumbe utumie kondomu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wewe usiwe chanzo cha kupeleka tukisema upo tujiachie kisa eti unayempenda anaweza kukuletea nadhani elimu inahitajika sana
 
Habari,
Jana nikiwa njian kutoka Mbeya kuja Mwanza nikaamua kupaki Tabora mida ya usiku

Kama kawaida nikaenda kiwanja kimoja kula vitu vya Pierre, tatizo langu nikila vitu huwa nakuwa na hamu sana na wanawake

Basi buana nikaanza kufanya harakati za kupata demu, huku na huku nikaangukia kwa mdada poa mmoja hivi masha'allah, tukaelewana na mambo yakaenda vizuri

Ile tunafika chumbani demu akafunua tu kisiketi chake, nikamwambia vua kabisa nguo zote hataki tukavutana pale vile vile bado hataki, nikamwambia basi rudisha mkwanja wangu akawa hataki tena kurudisha pesa

Anadai eti nimeiona kyuma bure, yaani nimeenda kuona kyuma yake kisha nimuache, nikachukua chupa ya bia kwa hasira nikamwambia nakuua leo usipo nipa hela yangu, akawa amepiga yowe sio siri hawa wadada wanaushirikiano mkubwa sana kama dakika 2 hivi walitokea madada poa kama 50 vile

Wakaanza kunishambulia kwa maneno mapigo ya moyo yakaanza kwenda kasi, nilisituka sana lakini ile nafikiria cha kufanya akatokea jamaa angu mmoja nilikuwa nae kwa safari namuita Faru kwa jina la utani

Nikamwambia Faru sijawahi kusomba watu kupeleka selo toka nimepanda cheo leo nawapeleka hawa wote nikawa kama napiga simu pale "Sanjent Maro naomba uje haraka hapa (nikataja eneo husika) na vijana wanne" nikaweka simu mfukoni nikawa nafoka pole pole pale

Wakaaminia wakajua mimi afande wakaanza kutetemeka wote akajitokeza mmoja akaniuliza "kwani kuna nini kaka"? nikamweleza kilichotokea kuwa nimeelewana na mwenzao ila kagoma kufuata masharti yangu na hataki kurudisha pesa

Huwezi amini wakamugeuka wote wakaanza kumshambulia eti anataka kuwaharibia biashara, wakamwambia arudishe pesa yangu haraka na akarudisha kweli

Nikamuonya nikamwambia siku nyingine asirudie nikawa nimeondoka, kufika Guest jamaa angu akawa anacheka kwa kilichotekea

Ila Tabora ni miongoni mwa miji yenye wadada poa kibao
Ulienda pale O2 nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom