Dada poa wa Tabora nusura waniue

Dada poa wa Tabora nusura waniue

24 Megapixel

Senior Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
149
Reaction score
328
Habari,
Jana nikiwa njian kutoka Mbeya kuja Mwanza nikaamua kupaki Tabora mida ya usiku

Kama kawaida nikaenda kiwanja kimoja kula vitu vya Pierre, tatizo langu nikila vitu huwa nakuwa na hamu sana na wanawake

Basi buana nikaanza kufanya harakati za kupata demu, huku na huku nikaangukia kwa mdada poa mmoja hivi masha'allah, tukaelewana na mambo yakaenda vizuri

Ile tunafika chumbani demu akafunua tu kisiketi chake, nikamwambia vua kabisa nguo zote hataki tukavutana pale vile vile bado hataki, nikamwambia basi rudisha mkwanja wangu akawa hataki tena kurudisha pesa

Anadai eti nimeiona kyuma bure, yaani nimeenda kuona kyuma yake kisha nimuache, nikachukua chupa ya bia kwa hasira nikamwambia nakuua leo usipo nipa hela yangu, akawa amepiga yowe sio siri hawa wadada wanaushirikiano mkubwa sana kama dakika 2 hivi walitokea madada poa kama 50 vile

Wakaanza kunishambulia kwa maneno mapigo ya moyo yakaanza kwenda kasi, nilisituka sana lakini ile nafikiria cha kufanya akatokea jamaa angu mmoja nilikuwa nae kwa safari namuita Faru kwa jina la utani

Nikamwambia Faru sijawahi kusomba watu kupeleka selo toka nimepanda cheo leo nawapeleka hawa wote nikawa kama napiga simu pale "Sanjent Maro naomba uje haraka hapa (nikataja eneo husika) na vijana wanne" nikaweka simu mfukoni nikawa nafoka pole pole pale

Wakaaminia wakajua mimi afande wakaanza kutetemeka wote akajitokeza mmoja akaniuliza "kwani kuna nini kaka"? nikamweleza kilichotokea kuwa nimeelewana na mwenzao ila kagoma kufuata masharti yangu na hataki kurudisha pesa

Huwezi amini wakamugeuka wote wakaanza kumshambulia eti anataka kuwaharibia biashara, wakamwambia arudishe pesa yangu haraka na akarudisha kweli

Nikamuonya nikamwambia siku nyingine asirudie nikawa nimeondoka, kufika Guest jamaa angu akawa anacheka kwa kilichotekea

Ila Tabora ni miongoni mwa miji yenye wadada poa kibao
 
Umesahau kutia mdalasini na iliki, ila sukari iko poa... Naenda kuchukua chapati...

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Chai ipi mkuu?
Ulishika chupa
Alipiga kelele
Walikuja 50
Faru akaingia
Ukapiga simu
Wakaogopa
Akakurudishia pesa
Wakaondoka

Ilikuwa kwenye eneo lao ila lilikuwa jilani na pale tulipo fikia baada ya kupiga kelele na wadada wenzake kuja tulitoka nje
 
2014 nilimpataga mtoto wa chuo cha Uhazili Hapo Tabora,nilimtembezea kachabali mpaka kaikubali. Kesho yake naondoka kwenda Nzega alitaka twende naye kusudi usiku nimunyaze tena!! Ilikuwa shida.

kutoka: Imburumatale.
 
Umesahau kutia mdalasini na iliki, ila sukari iko poa... Naenda kuchukua chapati...

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umesahau kutia mdalasini na iliki, ila sukari iko poa... Naenda kuchukua chapati...

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
chapati utaziweza ? bei yake ni bilion mzee baba. agiza mihogo tu
 
chapati utaziweza ? bei yake ni bilion mzee baba. agiza mihogo tu
Hahahaa, Aisee... Kweli nimekumbuka.. asante sana kwa kunikumbusha...
Hapa lazima nipate mihogo nikifeli sana basi kachori... Hiyo bei ya chapati siiwezi

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
hahahahaha chapati zinaliwa na vibopa watu na faranga zao
Hahahaa, Aisee... Kweli nimekumbuka.. asante sana kwa kunikumbusha...
Hapa lazima nipate mihogo nikifeli sana basi kachori... Hiyo bei ya chapati siiwezi

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Alafu ukute ela yenyewe 5000..bruh!

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
2014 nilimpataga mtoto wa chuo cha Uhazili Hapo Tabora,nilimtembezea kachabali mpaka kaikubali. Kesho yake naondoka kwenda Nzega alitaka twende naye kusudi usiku nimunyaze tena!! Ilikuwa shida.

kutoka: Imburumatale.
Yaikala nawe usomele
 
Back
Top Bottom