Dada Nakaaya: Kweli siasa ni mchezo mchafu

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
3,782
Reaction score
2,418
Atakuwa anajutia kwa kurudisha kad wakat cdm ndo inawakosha watz wanaopenda mabadiliko.mwache ajifiche na magamba hakna wakumskiliza
 
Huyu ni dada yake na Siyoi Sumari (mtoto wa ba mdogo) Kweli alikuwa mwanaharakati muhimu sana ila familia yake yote ni ccm. Aliahidiwa na marehemu Solomon pamoja na EL kwamba arudi ccm kwa ahadi ya kupenyezwa kama kina Vicky Kamata, sasa uchaguzi wa 2010 ulipoisha mzee Sumari ambaye alikuwa middleman wa Nakaaya kuingia patakatifu akaugua, hapo mambo yakawa mrama kwa Nakaaya.
 
usoni amefanyaje? na mbona amejiachia namna hiyo? inatia huruma?
 
Mkuu waweza kumshauri aokoke na kurudi kundini

Huyu ni dada yake na Siyoi Sumari (mtoto wa ba mdogo) Kweli alikuwa mwanaharakati muhimu sana ila familia yake yote ni ccm. Aliahidiwa na marehemu Solomon pamoja na EL kwamba arudi ccm kwa ahadi ya kupenyezwa kama kina Vicky Kamata, sasa uchaguzi wa 2010 ulipoisha mzee Sumari ambaye alikuwa middleman wa Nakaaya kuingia patakatifu akaugua, hapo mambo yakawa mrama kwa Nakaaya.
 
Huyu ni dada yake na Siyoi Sumari (mtoto wa ba mdogo) Kweli alikuwa mwanaharakati muhimu sana ila familia yake yote ni ccm. Aliahidiwa na marehemu Solomon pamoja na EL kwamba arudi ccm kwa ahadi ya kupenyezwa kama kina Vicky Kamata, sasa uchaguzi wa 2010 ulipoisha mzee Sumari ambaye alikuwa middleman wa Nakaaya kuingia patakatifu akaugua, hapo mambo yakawa mrama kwa Nakaaya.

Pia ni dada yake Nancy Sumary baba yao alikuwa digala wa madini na ukiingia kwa undani kuna ndugu zao walioolewa na ukoo waakina lowasa.
 
Bora ajivua gamba mapema kabla hayajamkuta
 
Labda amerudi kwenye kazi yake ya zamani ya uchangudoa pale masai camp.
Nakumbuka wakati anaishi kijenge kwa bibi yake alikuwa anajirusha masai camp
 
IMG_0864.JPG

Mie mdada akishajipiga machata kihivi ananifanya nihisi ni mtumiaji wa msuba, sasa huyu naye niaje?
 
Nashukuru alivyoondoka alikua hatufai kwani ni mnafiki anawaza vyeo wakati MC4 wanawaza majukumu. ukweli umejidhihirisha kwani bora wafuasi 6 wa ukweli kuliko 100 wauongo
 
Nilimshuhudia live akirudisha kadi ya cdm arusha., flora mbasha, tiptop, tot, malo, +dogo janja alitambulishwa rasmi na tiptop. Nilikasirika mpaka nikawalaani.
 
Wasanii wetu nadhani tunawafahamu! Tumbo kwanza, reasoning baadae! Maana unajiuliza kama

siasa hakuwa mwanasiasa kweli kuna haja gani ya kiji-identify na chama flani? Si bora angebakia

mwanamziki tuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom