Wanitakiani
JF-Expert Member
- Apr 18, 2008
- 641
- 135
mbona kafunga matairi kiunoni
Hahahahahahaaaaaaa............umenichekesha sana mtotowamjini!
mbona kafunga matairi kiunoni
mkuu wengi sana hata elim zao nizautata kwahiyo msiwashangae tunhitaj watu kama bonta n roma mkatolik waende kwao wakafanye M4C mana wao na wale vijj vya mtwara,lind na Tanga hakuna tofautWasanii wetu nadhani tunawafahamu! Tumbo kwanza, reasoning baadae! Maana unajiuliza kama
siasa hakuwa mwanasiasa kweli kuna haja gani ya kiji-identify na chama flani? Si bora angebakia
mwanamziki tuu?
usoni amefanyaje? na mbona amejiachia namna hiyo? inatia huruma?
Tena kwenye ile band Yao ya tot ndio wanatishanamimi pia nimejua akichokimaanisha dah hi kali kweli atajuta kuwa magamba maana magamba weng wanamatail viunomi mwao wachunguze vzuri
Huyu ni dada yake na Siyoi Sumari (mtoto wa ba mdogo) Kweli alikuwa mwanaharakati muhimu sana ila familia yake yote ni ccm. Aliahidiwa na marehemu Solomon pamoja na EL kwamba arudi ccm kwa ahadi ya kupenyezwa kama kina Vicky Kamata, sasa uchaguzi wa 2010 ulipoisha mzee Sumari ambaye alikuwa middleman wa Nakaaya kuingia patakatifu akaugua, hapo mambo yakawa mrama kwa Nakaaya.
Labda amerudi kwenye kazi yake ya zamani ya uchangudoa pale masai camp.
Nakumbuka wakati anaishi kijenge kwa bibi yake alikuwa anajirusha masai camp
mbona siku hizi hawa dada zetu wanakuwa na mashepu ya ajabu ajabu? tena wana vitambi mbaya
![]()
Mie mdada akishajipiga machata kihivi ananifanya nihisi ni mtumiaji wa msuba, sasa huyu naye niaje?
mbona kafunga matairi kiunoni
Nareero Nsuri.
Sambura huuu amepotea denyi
mara moja moja huwa namwona kwenye kabaa kake hapa tengeru. ila kafulia mpaka basi.
Hua naskiaga tu wadada Magumegume but sijui hata wanafananaje,
Huyu dada ilipoimba wimbo wa Mr Politician nilijua sauti za waimbaji wetu sasa ni chachu ya ukombozi, akapokea kadi ya CHADEMA, kama mwanachama, mara akaja akairudisha kwa JK akiwa Arusha ati mwana mpotevu amerudi nyumbani.....sasa amepotea kabisa na hasikiki tena, leo nimekutana na hii picha yake nikakumbuka yaliyopita....
http://2.bp.blogspot.com/-B-pYNDBoESU/T6RhW7Vpa_I/AAAAAAAAS7c/CrymtlzpLCE/s1600/IMG_0864.JPG