Dada na Kaka wanapokutana.

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
537

Hapo ni Voda.Je wataongea kusaidia jamii au wata chakachua?
 
watapiga stori za utotoni
mambo kama haya ndio yamefanya wananchi Mali kuingia Ikulu na kumtimua rais, maana unakuata 'wahuni' mliokuwa mnaowajua wanaingia ofisi zisizotarajiwa!

kama wakitumika vizuri itakuwa poa..otherwise ni noma
 
Hivi jamaa aytaendelea na uenyekiti wa ile kamati ama inakuwaje?
 
Conflicts of interests!
What was official issue for a minister to visit Vodacom?
 
Chadema kuna mtu na mchumbake, kama mnabisha muulizeni TUNTEMEKE.
 
na kwa nini ziara yake ya kwanza iwe voda?
 
People! People! Are we perhaps over-thinking things a bit rather than just taking them at face value?
 
Wanajipongeza, mzee Yusufu kawalea kwenye mstari, wote wana good time!!
 
View attachment 54439

Hapo ni Voda.Je wataongea kusaidia jamii au wata chakachua?
Mbona mnakuwa na negative kwa kila jambo wa Tz tubadilike na wakati sasa kama huyu Rihanna mgesemaje anacheza tu na ndgu yake
Horseplay: Rihanna posted this picture of her and little brother Rajad on her Twitter account
 
Kwa hiyo tuige hiyo mila ya kina Rihanna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…