Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Imenifikia yaani lohwewe si ulimmiss? amekuja copy imfikie Hajar na miss natafuta
Imenifikia yaani lohwewe si ulimmiss? amekuja copy imfikie Hajar na miss natafuta
Hahahaaa. Mpaka wamuombe pooo.Hahahha ila mm nafurahi sana wamepata kiboko yao mana walizidi kutuandama
Mkuu mi naamini sio wote wanabeba dharau hizo za kuitwa wa Dar, mi ni wa Dar na sio mrembo, mtanashati, mpaka mafuta makalioni, km type zao hawa wadada wa JF..Si muhamie mikoani tu,wavulana wa Dar mnatuaibisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mi naamini sio wote wanabeba dharau hizo za kuitwa wa Dar, mi ni wa Dar na sio mrembo, mtanashati, mpaka mafuta makalioni, km type zao hawa wadada wa JF..
juzi na jana mashambulizi yalikuwa mengi mpaka ukaomba poo bora kritika kajaImenifikia yaani loh
tupumzishe kidogo basi halafu nahisi we wa mkoani ila mwambie dada yako aache kukulisha iyo sumu haifai kwa mustakabali wa maisha yakoDada angu ananambia Bora upate mwanaume mwenye sura mbaya kuliko mwanaume Mjinga. Yani mwanaume mmoja mjinga ni sawa na wanawake 10 vichaa.
Na leo nimeamini kuna miwanaume ya dar imegongana na vigari vyao(vile vya watoto) hakuna alieumia wala magari hayajaumia impact ilikua ndogo cha ajabu badala yatoke yamshukuru Mungu yanaanza kukunjana mashati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora kutokuishi kuliko kuishi kama wanaume wa kileo..chaaaaa
Hahaha aiseee mbona vijana wa Dar wanadharaulika hivyo duh.Kritika 1 ni sawa wanawake buku vijaa tena wa Dar
Kazi wanayo Ellie , sisi wa mikoani ni noma.Hahaha aiseee mbona vijana wa Dar wanadharaulika hivyo duh.