Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,932
- 3,406
Unatudharau kwa kutuita wanaume wa dar, mbona mi niko dar hii hii na sina hizo makeke zenu za wanaume wa darDada angu ananambia Bora upate mwanaume mwenye sura mbaya kuliko mwanaume Mjinga. Yani mwanaume mmoja mjinga ni sawa na wanawake 10 vichaa.
Na leo nimeamini kuna miwanaume ya dar imegongana na vigari vyao(vile vya watoto) hakuna alieumia wala magari hayajaumia impact ilikua ndogo cha ajabu badala yatoke yamshukuru Mungu yanaanza kukunjana mashati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora kutokuishi kuliko kuishi kama wanaume wa kileo..chaaaaa