Dada huyu yalimkuta huko

Dada huyu yalimkuta huko

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
330
Reaction score
1,244
DADA HUYU YAMEMKUTA😂😂😂

Tukumbushie kidogo miaka ya nyuma. Mwanamke mmoja nchini nigeria alilalamika mtandaoni baaada ya kutembea zaidi ya km 250 kumfata mwanaume aliyekuwa anachart nae mtandaoni

Lakini alichoka baada ya kujua aliyemfata ni kijana mwenye umri wa miaka 15 😂😂😂
1730041948173.jpg
 
Kasongo yeyee..mombali nangaa,, kasongo mbona wewooh,,songali nangaa,,wo- yeyee,, yeyeeh,,kasongo mbona weweeeh,,mbona wewoooooh!!?? Songali nangaa..
Huu wimbo huwa nausikia ukiimbwa pale mnyama ngiri akiwa anakimbia/kimbizwa na simba Nyamwi255 bhana😂
 
Huyu mwanamke alikuwa na bahati sana kumpata dogodogo (kiben 10) cha miaka 15.
 
Back
Top Bottom