Wandugu tumepotelewa na dada huyu, katoka nyumbani (Matejoo kwa Giriki) tangu siku ya Juma tano tarehe 24/04/2019. Tumemtafuta kila mahali bila mafanikio. Tumeambiwa alionekana maeneo ya Kwa-Mromboo. Mara ya mwisho alivaa malapa ya bluu, kitenge cha kijani, koti jeupe (dogo), kichwani kajifunika mtandio wa rangi ya zambarau. Tumetoa taarifa polisi (Kituo cha Ngarenaro) na tumepewa RB namba: NG/RB/504/2019.
Yeyote atakayekuwa amemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige namba zifuatazo;
0742-832-390 (Mumewe)
0756-336-967 (Baba Mkwe)
0758-263-074 (Shemeji yake)
Asanteni sana.
Yeyote atakayekuwa amemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige namba zifuatazo;
0742-832-390 (Mumewe)
0756-336-967 (Baba Mkwe)
0758-263-074 (Shemeji yake)
Asanteni sana.