Huyo DADA NI MWALIMU, HUYO MUME NI DEREVA TAXI... Hajabakwa hata kdogo, 100% mdada tamaa zmemzd, atajiju! Tena huyu inabd afungwe kwa jarbio la kuua.... Dhambi znapatkana hapa dunian, msaliti mkubwa wa mapenzi huyo!Habarini wana JF, Majuma kama matatu yaliyopita dadaangu ambaye ni mtoto wa rafiki mkubwa wa mama yangu mzazi alifanya jaribio la kumuua mtoto wake wa kumzaa. Tatizo ni kwamba alipata ujauzito baada ya Kubakwa na kijana fulani (Ametoroka yasemekana anaonekana mkoani Arusha ni dereva tax kwa sasa), huyo dadaangu ni mwalimu na huyo mtoto ana miaka mitatu. Ilibidi itumike mbinu isiyo rasmi kuwapoza Polisi. Hata hivyo baada ya kuhojiwa na watu wa karibu anasema kuwa huwa anasikia hasira sana kila anapomuona yule mtoto na anamchukia kutoka moyoni Kwani amefanana sana na baba mbakaji. Kikubwa kingine kinachomfanya amchukie ni kuwa uchumba wake ulivunjika baada ya kupata mimba hiyo iliyotokana na kubakwa. Mchumaake alikuwa masomoni South Africa aliporudi na kulikuta hilo akaghairi YUKO SAHIHI KUMCHUKIA MWANAE KWA KUWA ALIPATIKANA BAADA YA KUBAKWA?
Mkuu fateni ushauri huo wa king'asti haraka sana.Kila la kheri.haina maana kutafuta usahihi wa yeye kuua mtoto ama kutokumuua. ameathiika kisaikolojia kutokana na madhali yaliyompata. wakati mnafanya mipango ya kumsaidia apae matibabu ya kiakili, mnaweza kumsaidia kwa kumchukua mwanae na kukaa nae ili mumpatie mapenzi ya kindugu na kumuepusha nae kuathirika kisaikolojia. poleni sana,kwa kweli wabakaji wote wanastahili adhabu duniani, na kisha ahera!
mkuu,taratibu kidooogo!! Mh! Usikimbilie kumuhukumu wakati hujui undani wa kitu.huyo dada ni mwalimu, huyo mume ni dereva taxi... Hajabakwa hata kdogo, 100% mdada tamaa zmemzd, atajiju! Tena huyu inabd afungwe kwa jarbio la kuua.... Dhambi znapatkana hapa dunian, msaliti mkubwa wa mapenzi huyo!
Habarini wana JF, Majuma kama matatu yaliyopita dadaangu ambaye ni mtoto wa rafiki mkubwa wa mama yangu mzazi alifanya jaribio la kumuua mtoto wake wa kumzaa. Tatizo ni kwamba alipata ujauzito baada ya Kubakwa na kijana fulani (Ametoroka yasemekana anaonekana mkoani Arusha ni dereva tax kwa sasa), huyo dadaangu ni mwalimu na huyo mtoto ana miaka mitatu. Ilibidi itumike mbinu isiyo rasmi kuwapoza Polisi. Hata hivyo baada ya kuhojiwa na watu wa karibu anasema kuwa huwa anasikia hasira sana kila anapomuona yule mtoto na anamchukia kutoka moyoni Kwani amefanana sana na baba mbakaji. Kikubwa kingine kinachomfanya amchukie ni kuwa uchumba wake ulivunjika baada ya kupata mimba hiyo iliyotokana na kubakwa. Mchumaake alikuwa masomoni South Africa aliporudi na kulikuta hilo akaghairi
YUKO SAHIHI KUMCHUKIA MWANAE KWA KUWA ALIPATIKANA BAADA YA KUBAKWA?

Nimeipenda hii lakini hapo kwenye ahera mh!Mtoto hana hatia..sema kwa kweli jamaa alimfanyia kitendo cha unyama.
Kwa hiyo MR kama tutakufa wote ni sahihi kuuana?Hakuna atakae ishi milele wote tutakufa!!